Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Olewa ww acha longolongoFuraha ni bora zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Olewa ww acha longolongoFuraha ni bora zaidi.
Mkuu umeoa? Naona full maexperience!Mwanaume uingie kulala umkute mkeo kalala uchi hasira zinahama lazima utaomba game tu au usiku umelala unasikia umeguswa na tako lazima upapase
Kama humu jf na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa,changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda
Humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu,ukiangalia wanavyojipambanua humu . Yaani full stress,kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa,
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free pu..mb.. Haaaa yaani kujiuza kujiuza.....
Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana...na kuona walioolewa wamekosea sana..
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani.
Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamanii..
Awe broke,sijui free p,yukoje yukoje,saidianeni maisha.usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani...
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana..ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja.sio kusubiri kila kitu upewe.
Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele...
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani.
Awa wengine waache waendeleee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.
2009-2014Okeeee
Tayari jiwe gizani hapaJf bana huwezi jua MTU in ke/me
Jiwe gizani limeshakupataNimesoma bandiko lako ila bado nawaza wewe ni Ke? Thread yako imekaa kama imeandikwa na Me.
Wamekusikia ingawa umetumia maneno makali.
Huwezi amini kwasababu yaliyo andikwa hukutaka kuyasikiaMi siamini kama aliyeandika thread hii ni mwanamke,bado sijaamini.
Jiwe gizani paaHumu shoga...wanaume kama hao waanzisha thread huwa wanahisi wadada wa JF hawana wanaume / au hawajaolewa!
Haaa haaa mi nachekaga
Kwahiyo pesa ndio fraha yako?Furaha ni bora zaidi.
Watumikaji utawajua tu, utatumiwa sanaHamna kipya kwenye message yake ambacho mwanamke hakijui,wanawake wote wanayajua hayo ila sio lazima kuyafatisha sababu maisha hayana formula kama vile watu wanavojua ubaya wa sigara na bado wakaendelea kuvuta.
Na umemwelewa?Tumekusikia
Nakupa like,MTU na ajisifu kua ana mjua Mungu..ndoa ni nzur lakin usipokua makini inawezq kukukosesha mbingu...na kila MTU ana destiny yake hapa dunian hamna haja ya kumsema MTU kwa kitu qmbacho hana hujui season yake.Wanasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Ukitambua thamani yako na kwa nini upo hapo ulipo kwenye ndoa au ghetto maoni ya watu ya kukushusha hayakusumbui. Hutajisumbua hata kuwajibu kwa sababu unajua wanafanya vile kwa sababu hawaijui thamani yao au wana picha ya uongo kuhusu wao. Kwa hiyo huwezi kujibizana na mtu asiyeujua ulimwengu wako. Anayejua thamani yake au ya nafasi yake yoyote hajioni bora kuliko mwingine kwa sababu hutumia muda wake na mali zake na akili zake kulinda na kuongeza thamani yake na kurahisishia wengine maisha. Anayeijua thamani yake, thamani ambayo haihalalishwi na ndoa, gari, cheo, watoto wala umbile hajisumbui kujihalalisha na kutetea vitu ambavyo anajua leo jioni vinaweza visiwepo ila yeye ataendelea kuwepo na kufurahia muda mfupi aliowekwa duniani au yeye ataondoka na kuviacha.
Ongera kwa kuolewa baada ya kucheza sana kwaito kwenye harusi za wenzio na wewe hatimaye umepata wako. Tunakushauri na wewe uitunze hiyo ndoa yako muheshimu mumeo kwa hali yoyote aliyonayo. Wake za watu mnasifika sana kwa kugawa hovyo huko maofisini mnagongwa tu, kwenye magari, vyooni yani hamjali kokote nyie mnagongwa. Na vijana wanawapenda sababu hamna garama mnahudumiwa na waume zenu wao kazi ni kuosha rungu tu. Naona na Gudume kashaanga kusarandia. Hivyo vitendo vya aibu mnavyofanya vinawadhalilisha waume zenu waliowatolea mahali na kuleta heshima kwenye familia zenu. Nakutakia maisha mema na furaha tele kwenye ndoa yako.Kama humu jf na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa,changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda
Humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu,ukiangalia wanavyojipambanua humu . Yaani full stress,kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa,
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free pu..mb.. Haaaa yaani kujiuza kujiuza.....
Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana...na kuona walioolewa wamekosea sana..
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani.
Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamanii..
Awe broke,sijui free p,yukoje yukoje,saidianeni maisha.usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani...
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana..ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja.sio kusubiri kila kitu upewe.
Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele...
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani.
Awa wengine waache waendeleee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.
Umeona eeh?Mkuu hapa itakua umejichanganya
We wasema.Kwahiyo pesa ndio fraha yako?
Shost umeolewa?Jiwe gizani paa
Shost mbona una hasira sana?Watumikaji utawajua tu, utatumiwa sana
Jiwe gizani paa