T torosi JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 1,114 Reaction score 2,088 Dec 1, 2025 #1 Tahadhari kabla ya hatari Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako. Chukua tahadhari kabla ya hatari
Tahadhari kabla ya hatari Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako. Chukua tahadhari kabla ya hatari
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 1, 2025 #2 Hii ni hatari sana kuishi na israel mtoa roho ndani ya nyumba.
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,705 Reaction score 5,540 Dec 2, 2025 #3 Haipingwi
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,258 Reaction score 6,504 Dec 2, 2025 #4 Familia za polisi ziwe makini sana safari hii, kuna hali sio nzuri.Ningekua ni mimi ningewapeleka mahali kwa muda kwa usalama wao.
Familia za polisi ziwe makini sana safari hii, kuna hali sio nzuri.Ningekua ni mimi ningewapeleka mahali kwa muda kwa usalama wao.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Dec 2, 2025 #5 Ni kweli… hakuna ushirika na mchawi utakaodumu. Shetani ni shetani tu mapenzi hayamfanyi kuwa malaika ni suala la muda. Waoane wenyewe kwa wenyewe hawa wahuni.
Ni kweli… hakuna ushirika na mchawi utakaodumu. Shetani ni shetani tu mapenzi hayamfanyi kuwa malaika ni suala la muda. Waoane wenyewe kwa wenyewe hawa wahuni.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Dec 2, 2025 #6 Ningekuwa askari nilieuwa watu ningeenda tu kwa waganga wa makafara ya utajiri niendelee kuua niwe tajir wa kutupwa ijukikane moja tu
Ningekuwa askari nilieuwa watu ningeenda tu kwa waganga wa makafara ya utajiri niendelee kuua niwe tajir wa kutupwa ijukikane moja tu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Dec 2, 2025 #7 Mjukuu wangu ephen_ huu ushauri uuzingatie. Kama vipi urudi tu Lushoto kwa babu yako. Achana na huyo polisi wako Mkurya Chacha Muliro.
Mjukuu wangu ephen_ huu ushauri uuzingatie. Kama vipi urudi tu Lushoto kwa babu yako. Achana na huyo polisi wako Mkurya Chacha Muliro.