Kama umeolewa/umeoa Askari na unajua alishiriki kwenye mauaji, kaa mbali nae, atakuja kukuua

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
Tahadhari kabla ya hatari

Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku

Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako.

Chukua tahadhari kabla ya hatari
 
Familia za polisi ziwe makini sana safari hii, kuna hali sio nzuri.Ningekua ni mimi ningewapeleka mahali kwa muda kwa usalama wao.
 
Ni kweli… hakuna ushirika na mchawi utakaodumu. Shetani ni shetani tu mapenzi hayamfanyi kuwa malaika ni suala la muda.

Waoane wenyewe kwa wenyewe hawa wahuni.
 
Ningekuwa askari nilieuwa watu ningeenda tu kwa waganga wa makafara ya utajiri niendelee kuua niwe tajir wa kutupwa ijukikane moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…