Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Nyerere alipo anajilaumu sana kupambania uhuru..!
Ukikaa na Wakenya,Wanyarwanda na Wanaijeria wanasema katika Afrika hakuna Vijana wapumbavu na wasiokuwa na Akili km Watanzania,mfano wake ndio huu.

Hapo anaandika huu upumbavu ndio kamaliza Chuo, anataka wasomaji wajifunze alichokifanya au tuchangie alichokifanya ili tuanze kucheka cheka.

Watanzania tunaishi maisha magumu sana na tunachelewa sana kubadili maisha yetu sababu ya kufanya mambo kimasihara sana,

Nyerere anajialaumu sana huko alipo lakini waliokufa vitani huko Uganda na wao ndio wanalia zaidi,Vijana wa leo ni wapumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom