mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
huo ni ugonjwa sometimes wengine anachukua hivyo vitu halafu hana ishu navyo!mhh roho za kimaskini ndio zinafanya watu waibe vitu vidogo visivyo na tija...... Ibeni vitu vya maana kama umeamua kuwa mwizi
Kwasababu mimi ni "mkeleketwa" wake.uwezi nipangia cha kuongea kam alikuwa anamwambia uyo apple wake wangeongea private huko sawa na kwanini unakuwa mkeleketwa sana kujibu ivyo kuliko yeye mwenyew mleta uzi?
hahaaaaaaaa unawashwa washwa angalia mazingira yako hali ngumu mtaaniKwasababu mimi ni "mkeleketwa" wake.
Wacha uongo, nawashwa washwa kwani mimi mstaafu?hahaaaaaaaa unawashwa washwa angalia mazingira yako hali ngumu mtaani
hahaaaaa...daaaah basi sawa mkeleketwaWacha uongo, nawashwa washwa kwani mimi mstaafu?
Duuu we nomaNiljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto
Aisee kumbe jf mijizi ipo mi nilifikili ni great thinker tuNiljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto
Hiyo saikolojia yako ni ya lumumbaaa mkuuuSina lengo la kumtusi mtu, ila kwa saikolojia yangu, demu anayeiba vitu hotelini au bar au hata supermarket ni malaya/kahaba. Akipata upenyo kidogo anauza mbunye aka K.
Unajua kwanini baadhi ya mademu wanauza K? Jibu ni moja tu tamaa. Tamaa tu ndo itamfanya mdada anayejifanya 'class' aibe glass. Na tamaa ikilelewa inakua na kuwa kubwa ndo mademu hu-graduate kutoka kuiba glass hadi kuuza uke. Ni saikolojia tu, sio mimi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]labda ni apple rapaKwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.
wewe ulitakiwa uchangie jinsi ulivyokuwa wewe ukiiba sio vinginevyo.
Nimecheka kwa saut mpaƙa mama kanishangaaaKuna siku, nimeenda morogoro kwenye hoteli fulani .
Sasa nilipoingia chumbani, nakuta ndala zipo kama "papa na nguru" yaani tofauti tofauti. Ikabidi nimuulize muhudumu, nikamwambia
Hotel yenu ni kubwa na inapokea watalii kibao na watu wenye hadhi kubwa, kwanini basi mnafanya hivi ndala zinakua za namna hii.?!
Akaniomba samahani sana, akasema wameamua kufanya hivyo baada yakua wakipata hasara ya kununua ndala mara kwa mara.
Maana wateja wengine hua wanaondoka nazo kabisa.
Nikamwambia nahitaji ndala zilizosawa sitaki ndala zilizotofautiana, 150,000 niliyolipa ni kubwa. Ndio akaenda nibadilishia akaleta zilizo fanana.
Ukweli sikuamini kabisa hio sababu aliyoitoa, niliona huenda alikua anatania.
Sasa leo baada ya kusoma hij thread, ndio nimeelewa sasa.