Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

uwezi nipangia cha kuongea kam alikuwa anamwambia uyo apple wake wangeongea private huko sawa na kwanini unakuwa mkeleketwa sana kujibu ivyo kuliko yeye mwenyew mleta uzi?
Kwasababu mimi ni "mkeleketwa" wake.
 
opsss Mungu anisameheme tulishawahi beba glass za Malaika hotel Mwanza,enzi za chuo tatizo zilikua zinavutia sana!
 
Hz ID Fake ndo zinasababisha mambo haya... Duuuh, hadi shuku aisee
 
Mpk kesho mimi stick naondoka nazo tuu hakuna namna........................ na nilishawahi kuondoka na salt vessel
Tupo wengii alafu ɓaadhi wanajifanya hawajawahi sio kweli
 
Sina lengo la kumtusi mtu, ila kwa saikolojia yangu, demu anayeiba vitu hotelini au bar au hata supermarket ni malaya/kahaba. Akipata upenyo kidogo anauza mbunye aka K.

Unajua kwanini baadhi ya mademu wanauza K? Jibu ni moja tu tamaa. Tamaa tu ndo itamfanya mdada anayejifanya 'class' aibe glass. Na tamaa ikilelewa inakua na kuwa kubwa ndo mademu hu-graduate kutoka kuiba glass hadi kuuza uke. Ni saikolojia tu, sio mimi.
Hiyo saikolojia yako ni ya lumumbaaa mkuuu
 
Kwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.
wewe ulitakiwa uchangie jinsi ulivyokuwa wewe ukiiba sio vinginevyo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]labda ni apple rapa
 
Kuna siku, nimeenda morogoro kwenye hoteli fulani .

Sasa nilipoingia chumbani, nakuta ndala zipo kama "papa na nguru" yaani tofauti tofauti. Ikabidi nimuulize muhudumu, nikamwambia

Hotel yenu ni kubwa na inapokea watalii kibao na watu wenye hadhi kubwa, kwanini basi mnafanya hivi ndala zinakua za namna hii.?!


Akaniomba samahani sana, akasema wameamua kufanya hivyo baada yakua wakipata hasara ya kununua ndala mara kwa mara.

Maana wateja wengine hua wanaondoka nazo kabisa.

Nikamwambia nahitaji ndala zilizosawa sitaki ndala zilizotofautiana, 150,000 niliyolipa ni kubwa. Ndio akaenda nibadilishia akaleta zilizo fanana.


Ukweli sikuamini kabisa hio sababu aliyoitoa, niliona huenda alikua anatania.

Sasa leo baada ya kusoma hij thread, ndio nimeelewa sasa.
Nimecheka kwa saut mpaƙa mama kanishangaaa
 
Back
Top Bottom