Unajua hata sielewi mimi nazidi kukupenda tu DemissNikija kwako nitaiɓa kila kitu ukirud utakuta room nyeupe mm ninaurafk na canter za mizgo ukienda kazin nasomba mizigo yote
Leo nalivua pendo nililopenda zamani[emoji445][emoji445][emoji445][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unajua hata sielewi mimi nazidi kukupenda tu Demiss
Kumbe bado mtoto unaishi kwenu, lakini ukweli ni huu wenda ulikuwa unafanya kwa kujifuraisha ama vinginevyo wewe unatabia ya wizi.Nimecheka kwa saut mpaƙa mama kanishangaaa
Naona unataka clip yangu ya kulia isambae kipenzi.Leo nalivua pendo nililopenda zamani[emoji445][emoji445][emoji445][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Acha nikaanze kuiba visabuni na mimi[emoji19][emoji19]
Mkuuu naona povu limekujaa nataman nikutukane ila nimekuja kumsalimka mama anguu anaumwa jaman mbn umenipa hasira za ghafla achana na lyf yanguKumbe bado mtoto unaishi kwenu, lakini ukweli ni huu wenda ulikuwa unafanya kwa kujifuraisha ama vinginevyo wewe unatabia ya wizi.
Na wizi usipoangalia hautoki damuni, utadokoa mifuko ya mumeo/mkeo sana ukina kuwa na mwenzi. Lakini pia najua kama unaweza kudokoa gesti nyumbani vitu vidogo vidogo lazima unapita navyo mazoea ndio tabia
Binafsi nimelala hotel na lodge kubwa nyingi sijawai chukua acha vitu bya muhimu kama remote, mashuka, hata sabuni sijawai beba. Na ni mtu mzima sasa lakn kwann sijawai? Nna hofu ndani yangu. Nimefunzwa katika misingi ya usiibe.
Sometimes katika mazingira mengine nje ya gesti hizo naweza kuwa tempted kudokoa kitu cha mtu au mtu kanizidishia chenchi natamani hivi nikaushe ila nafsi haitulii. Nitarudisha tu...sasa jenga tabia mpya
Usiibe.
Huna lolote unaish kwenu,nani anaoa mwiz.Mkuuu naona povu limekujaa nataman nikutukane ila nimekuja kumsalimka mama anguu anaumwa jaman mbn umenipa hasira za ghafla achana na lyf yangu
Halifai nani kasema[emoji112]Mkuuu taulo halifai
Noma sana mkuuSabuni mi nishaondoka nazo tu sana kwanza huwa nakwenda na sabuni yangu. Huwa sivipendagi vile visabuni pili huwa naona ni haki yangu hivyo kuwaachia nitawapa faida
HahahaKuna yule Mbunge wa viti maalum ccm anaitwa Mwanjelwa aliiba taulo lodge akadakwa.
Hama kwenu ndo uongee nami,jipange ukauze papa huko.Andamana ɓasi ww chizi nn