storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Tupo aise[emoji23][emoji23]Wale wa kuiba Sabuni mpo???
Mbunge mzima hana pesa ya taulo au asili tuKuna yule Mbunge wa viti maalum ccm anaitwa Mwanjelwa aliiba taulo lodge akadakwa.
Mbunge mzima hana pesa ya taulo au asili tu
Mlikua mnafanya nini hadi hamlipiumenikumbusha best yangu yuko USA,kila tukienda hotelini kula;hatukuwahi kulipa...hadi nikazoeeaa..
Una roho mbayaNilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...
Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...
Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
Ahhahahaha aibu kichiziiana asili ya wizi-wizi aliyojifunza ndani ya chama chake.
Lodge walimpa adhabu ya kufua mashuka na mataulo ndiyo wakamsamehe.
Kama wewe ni mtu wa kusafiri na kufikia lodge au hotel, lazima ubebe mswaki, taulo, sabuni na mafuta yako. Wengine kama tunatarajia kukaa muda mrefu lodge, huwa tunabeba na shuka la kujifunika toka nyumbani.KWELI TUMETOFAUTIANA.
WENGNE TUKIENDA KWENYE HAYO MAHOTELI TUNAENDA NA MATAULO BINAFSI, SABUNI BINAFSI N.K, KUMBE WENGNE MNAPGA MAHESABU YA KUIBA?
Nyoosha maelezo, sema kuna jamaa alikutia guest lakini havui nguo zote za juu.Nimeshawahi kukutana na mtu havui nguo zote (za juu) anapokuwa lodge/hotel. Sababu aliyotoa ni kwamba kwakuwa vitanda vinalaliwa na watu wengi na mara nyingi ni kwa ajili ya ngono, basi vitanda hivyo vina nuksi/mikosi na ukivilalia uchi wa unapata mikosi hiyo.
Nadhan huyo mtanzania hajui wenzie mashuka na mataulo ya lodge/hoteli wanapeleka nyumbani.
Hahahah, unaona hatari kutiwa? Wewe mwenyewe ukicheza anga za watu wanakutatua marinda. Haya ni mapovu ya mtu mdokozi wa vitu vya lodge. You should be ashamed of yourself for portraying bastardy and poverty-oriented habits.Nyoosha maelezo, sema kuna jamaa alikutia guest lakini havui nguo zote za juu.
My take: alikuwa anajilinda usimsachi au ana dosari kwenye mwili wake, hiyo siyo sababu unless kama uko cheap kiasi kwamba alienda kukutafunia kwenye guest za buku tano.
Mimi safari zangu zote nafikiaga hotel kama sehemu hakuna hotel ndio nalalaga kwenye hizo lodge.
Dada na ww kumbe ushawahi iba lakin saiv najua umeacha kama mm ilikuwa ni ujana tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Demiss umenifurahisha jamani, haya mambo yapo gesti niliwahi kuiba adaptor ya TV, coz orijino yake iliungua nikaikuta gesti flani iv kahama nikapita nayo aah saiv mambo good
Ww hata wife utamuibiaKipindi flan iv nimefika moro nkachkua malaya pale 4stars, tumeingia lodge akanipiga biti nimlipe kabisa, bas nikampa ela yake kisha nikapiga zangu shoo... mara nyingi huwa sipitiw na usingizi nikiwa na mwanamke nsomjua, likawa limelala fofofo, adi sa13 naliamsha halistuki, mi nkazama kwe pochi yake nkachukua 40k nkamuachia km elf5 na machenchi kibao... nikasepa zangu..