Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Napita na vƴombo kabisaa
Nakuogopa.

Sidhani kama utakuja kuacha nakwambia hiyo ni tabia.

Blanket, Tv, mashuka, folonya.
Aiseeh huo ni wizi kwa kweli.

Sabani, stick hivyo ni vitu vya kawaida ambavyo hata baadhi ya hotel ni mali yako kabisa
 
Kawaida hata rais anatuiɓia sembuse mm raia wa kawaida naiba urefu wa kamɓa yanguu

Lakini zike sabuni unakuwa umelipia ni zako hujaiba, lakini shuka mito na TV huo ni wizi kabisa.
 
Kawaida hata rais anatuiɓia sembuse mm raia wa kawaida naiba urefu wa kamɓa yanguu
Haya hakuna neno mkuu ila nimekuogopa heri angekuwa men ningesema ni nature tu ila ke ndio upo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…