Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa post Acha pombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu una roho ngumu kama ya Adolf HitlerNiliɓeɓa mgongon kama mtt nikajifunika shuka la kimasai
Nakuogopa.Napita na vƴombo kabisaa
tena virobA mataptapMtoa post Acha pombe
aisee...we ni bonge la kibaka duh!Niljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto
Kawaida hata rais anatuiɓia sembuse mm raia wa kawaida naiba urefu wa kamɓa yanguu
Haya hakuna neno mkuu ila nimekuogopa heri angekuwa men ningesema ni nature tu ila ke ndio upo hivyo.Kawaida hata rais anatuiɓia sembuse mm raia wa kawaida naiba urefu wa kamɓa yanguu
Mkaribishe getto aibe boxaWe si mtu mzuri ni wakuogopwa maghettoni.
Na blanket tena
Hapo nashangaa tena anajisifu labda mimk sijaelewa ila amezidi kwa kweli.Lakini zike sabuni unakuwa umelipia ni zako hujaiba, lakini shuka mito na TV huo ni wizi kabisa.
Kipenzi huyu nimemuogopa.Mkaribishe getto aibe boxa
aisee we ni kibaka mzoefu hata humu jf tukijisahau utatuibia avatar zetu weweMm ipo hotel dodoma nilipitaga na ɓlanket mpaka naogopa kurud hiyo hotel labda watanikamata