Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Sisi tuliiba remot za TV na rafiki yangu wa kisukuma tunatoka depo mafinga 841 kj guest moja inaitwa rose garden iringa mjini mtaa frelimo kisa wametupandishia bei na ilikuwa usiku
Mamɓo ƴa kawaida nashangaa watu mapovu kibaooo
 
Mungu anaƙuzooom
 
Hotel ya new Africa Dar huwezi kuiba niliwahi kulala pale siku unacheck out unasubirishwa reception simu inapigwa kuwaelekeza security wakakague room uliyolala km kuna kitu kinamiss wanakusachi pale pale reception.
 
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]huyo kazid akikutana na mm ngoma droooo
 
Nilichogundua hapa, ukienda geto/home kwa mwanamke ukikuta ana glass za aina nyingi nyingiii jua mwizi wa baa na gest huyo
[emoji3][emoji3][emoji3]tumewapa mbinu hapa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenena mkuu hakuna mtu ambaye hajawahi kuibaaa lakin ukisema ukweli watu wanakushambulia kama nn
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
mimi gest uwa naibiwa tuu, nishapoteza simu, laptop, walet, malaya sio watu kabisa
 
Wale wa kuiba Sabuni mpo???
Sabuni mi nishaondoka nazo tu sana kwanza huwa nakwenda na sabuni yangu. Huwa sivipendagi vile visabuni pili huwa naona ni haki yangu hivyo kuwaachia nitawapa faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…