Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pale huibi ile sabuni maana ni mali yako ulishailipia..hivyo vingine ndio unaiba[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wale wa kuiba Sabuni mpo???
Mungu anaƙuzooomNilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...
![]()
Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...
Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]huyo kazid akikutana na mm ngoma drooooKuna jamaa yangu nilikuwa nae Chuoni yeye kazi yake kubwa ilikuwa kuiba Glass za wine na bia Bar/Pub na hii tabia hajaiacha mpaka leo japokuwa kashaoa na watoto anao. Pia alikuwa na tabia ya kuwasafisha mikoba,hereni,cheni,hela na saa mademu aliolala nao Guest.
Hivi karibuni tuu kuna demu alimpata akaenda kulala nae Hotelini yule demu akapanda dau kubwa akampa elfu themanini kabla hawajafanya lolote,demu kazitia kwenye mkoba wake jamaa alichofanya akavizia mida ya saa10 usiku demu kalala fofofo jamaa akazama kwenye handbag akachukua hela zote alizozikuta pamoja na za yule demu akasepa zake. Demu anaamka hakuti mtu kucheki pochi haina hata mia,demu akapiga sana simu jamaa hakupokea.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenena mkuu hakuna mtu ambaye hajawahi kuibaaa lakin ukisema ukweli watu wanakushambulia kama nnNakumbuka wakati nafanya kazi hotel flani (sihitaji jina kuna watu watanichomea humu), nilianzisha uhusiano na mmojawapo wa store keeper wa hapo hotelini.
Ilikuwa ni mwendo wa kubeba vilotion, vimswaki, vitaulo, vile vindala vya manyonya, sabuni, cable za umeme na vingine vinavyoingia kwenye pochi.
Kumbe hawa wafanyakazi wa muda mrefu katika maeneo yenye ulinzi wa kutumia camera, huwa wanajua muda ambao waangalizi wa camera wanakuwa wamesinzia, hivyo kupelekea kudokoa vitu kiurahisi.
Alikuwa akiniambia, muda flani tutaenda store ya hotel maana muhindi yule atakuwa anasinzia mbele ya screen muda huo.
Na hatukuwahi kushikwa.
Tulikuwa tunabeba sana vyakula vibichi au vilivyopikwa ndani ya kofia zetu za jikoni pale hotelini, keki, nyama, kuku, sambusa, sauce ndogondogo za chupa, chillies, tomato, samaki, toothpicks, pastes, tambi, vikopo vya masala, kahawa na vimaziwa vya pakti n.k
Sema ma-Chef wakuu wanakuwa wanoko hivyo akitoka tu, tumebeba.
Wapishi tunaiba sana vyakula na vidude vidogovidogo.
Nimefanya kazi hotel 3, nimekutana na tabia hizohizo.
Baadae nahisi walishtuka na kuanzisha utaratibu wa kuvua kofia na kuziacha jikoni wakati wa kuondoka nyumbani.
Ila nilikuwa najaza kifriji changu pasu kwa pasu na hotel ile.
Naenda bar naagiza glasi 3, moja ya bia ninayokunywa, moja ya maji na moja ya pombe kali.
Nabeba mbili naacha moja.
Nafanya hivi endapo muhudumu akinizingua.
Nilikuwa najiuliza, laiti ningekuwa nafanya kazi benki, sijui muda huu ningekuwa selo ipi!!!
Maisha yale sijui yalikuwaje.
ILA NOW NIMEACHA JAMANI, MSINIOGOPE!!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]s
siku moja nililala hoteli moja Songea.. Asub nikaws nahitaji pasi ili ninyooshe nguo zangu.. nikaambiwa kuna mteja aliiba jana yake.. kwa hiyo hawanunua nyingine..
siku nyingine nikiwa Dar hotel fulan zilizopo nyuma ya Ubungo.. kufika muda wa kulala nashangaa chumba hakina neti.. nilivyowaambia reception wakaw hawaamini..
baadae walivyokuja chumban wakawa wanasema itakuw yule dada alielala hapa ameiiba..
haya mambo yapo sana
Stick nimeiba Sana kipindi Niko chuo yani tukienda kula tunabeba
Zinakua inch 19.Uongo mwingine bana.....sasa flat screen unapita nayo vipi reception au ulirusha dirishani
Sabuni mi nishaondoka nazo tu sana kwanza huwa nakwenda na sabuni yangu. Huwa sivipendagi vile visabuni pili huwa naona ni haki yangu hivyo kuwaachia nitawapa faidaWale wa kuiba Sabuni mpo???