msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana sio Kila Kitu unataka uelezewe kadri ya uelewa wako...Ni rahis sana kuchanganya uongo na ukweli na story ikawa kama ya ukweli.
Huyo jamaa alikung'ata sikio wakat umeelezea alikua na nguvu za kutosha za kuua majambazi na silaha zao. Wew enzi hizo na udogo wako ukapona khaaa...
Ni chai bila mkate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawenge ya utoto tu.Nikiwa na mdogo ila nikijielewa tulikuwa tunacheza kombolela na wenzangu na mimi ndiye niliyekuwa nazinga.Ghafla wakati wenzangu wamekwenda kujificha nyumba ya jirani yetu kulikuwa na mwembe,basi pale chini ya ule mwembe akatokea kimtu kifupi sana kimevaa gauni la blue mithili ya big mack,ni cha kike kikiwa mguu mmoja na amesuka nyele mabutu mawili,alikuwa ananinyooshea mkono kwa ishara ya kuniita,nilipigwa na bumbuwazi sana na nikatoka nduki balaa kuwafuata wenzangu,nikawaelezea nilichokiona na tuliporudi ili na wao wahakikishe kikapotea,hadi leo nikiwa ni mtu mzima sikupata kitu kibaya chochote
Eti mkimaliza mama kapinda[emoji1][emoji1][emoji1]
alama nlobaki nayo mpka leo ya yule dubwana
inshort wengi humu wanasema sjui hakuna uchawi huwa nawaangalia tu but kwa yaliyonikuta nikikuhis hata unatembea na hiriz mfkoni hata kama ndgu yngu hutoniona tena maishan mwakoView attachment 1303100
Sent using Jamii Forums mobile app