Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote

Hovyo sana aiseeeπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Wazee wa zamani walizaa watoto wengi n walikuwa matajiri, unajua siri yao ni nini?
Wako wapi hao matajiri wakati wao ndio wamesababisha Vinana wao hawatoboi?

We imagine unamaliza tu form four unatakiwa Kusomesha wasogo zako?

Yaami Mzazi mjinga anazaa watoto huku akiamini Mkubwa atasaidia kuleo wadogo.

Cycle imekuwa vilevile.
 
Wewe ni Kenge tafuta hela. Kuna mabchelor waempigika balaa
 
Mashamba...
Kiufupi walikua wanajiweza.
Kama unajiweza umaskini unakuja vipi na umewajengea watoto wako misingi imara.
Ishu ni kuwa uchumi zero alafu bado unafyatua
 
Ukifa, kuna uwezekano mkubwa watoto wakagombea mali na kampuni ikafilisika.

Ingekuwa bora zaidi ungekuwa nao wachache.
 
Usitupige Kamba hapa.

Hapa hatuzungumzii Shule dogo. Tunaongelea kutoboa
 
Tushalizika haliwez rudi tena,lilitufanya tuishi kama mashetani Kwa wivu wake usio na sabb..
 
Asilimia 90..utajiri na umaskin wa mtu upo ndani yake..hayo mambo ya sijui kupunguza watoto, sijui kuishi uswailin ulipe Kodi ndogo,kujibana kula vyakula duni,ubaili ..kuogopa spending nk ni external factors ambazo zina impact ya asilimia 10 tu...

utajiri ni habar nyingine kabisa!! Amka.
 
Mtajuana wenyewe na umasikini wenu
Sisi tuko wengi na tukijumlisha familia na watoto na wajukuu tunaweza kuwa na kijiji chetu kabisa
Na tupo vizuri na kutawanyika kila sehemu
Tafuteni hela jamani
Watoto kwetu ni hazina kubwa na utajiri pia
Ukichukia watoto basi hata wewe utajibahili tumbo lako
 
Usitupige Kamba hapa.

Hapa hatuzungumzii Shule dogo. Tunaongelea kutoboa

Tafsiri ya kutoboa kila mtu anaamua inamaanisha nini, is not universal, mfano kwenu kutoboa ni kuchuuza Dagaa, kwa mwingine ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…