Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo sana aiseee🤔🤔🤔Watanzania kama ilivyo kwa wafrika wote ni watu wanaopenda Ngono.
So mtu maskini sehemu pekee anayodaidi dunia ni kwenye Mbususu na Dushelele.
Yaami unakuta Mtu ana hali ngumu sana ya maisha amechoka mno.watoto utaiamlo na nguo za kuvaa hawa.
Lakini kila mwaka anazaa.
ElimuHaya mambo yapo sana vijijini.
Wako wapi hao matajiri wakati wao ndio wamesababisha Vinana wao hawatoboi?Wazee wa zamani walizaa watoto wengi n walikuwa matajiri, unajua siri yao ni nini?
Kutoboa kwa namna gani unakokuzungumzia wewe na ukishatoboa nini kinafata?Upo sahihi, ila tunazungumzia chances, chance za kutoboa ukiwa na watoto wawili ni kubwa kuliko ukiwa na watoto 16,
Wewe ni Kenge tafuta hela. Kuna mabchelor waempigika balaaFamilia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
Mashamba...Kizazi cha 95 na kuendelea kuna kitu hamuelewi...
Wazee wa zamani walizaa watoto wengi n walikuwa matajiri, unajua siri yao ni nini?
Hawakuwa lelemama, watoto hawakulelewa kilelemama, ilikuwa ukishafikisha miaka 5 tu ni kazi na wewe, wewe na kazi.
Ila siku hizi? Unazaa mitoto inashinda nyumbani tu, ni kula kunywa na kulala. Sasa kwa style hiyo kwa nini msiwe masikini.
Enzi zile, kijana ukishafikisha umri wa kuoa, unapaswa uoe. Unapewa mahari na ardhi na vi mifugo vya kuanzia maisha, ndo mnakuwa mmeshaagana na wazee ivo. Kama hutaki kuoa basi unaondolewa kwenye ratiba za kula nyumbani, ukikaa vibaya mzee naye anakufukuza kwake, wazee walikuwa hawalei ujingaujinga kama siku hizi.
Siku hizi eti kijana wa miaka 25+ amemaliza chuo anarudi nyumbani kwenda kula ugali wa baba na mama? Anaenda kubanana na wadogo zake home? What the fu*k?
Jamii inabidi iamke, la sivyo kuna bomu kubwa sana linajipika taratibuuuu..
😂😂😂😂😂 Wee jamaa unaelewa ila tuu unataka ligi na jamaaKutoboa kwa namna gani unakokuzungumzia wewe na ukishatoboa nini kinafata?
Ukifa, kuna uwezekano mkubwa watoto wakagombea mali na kampuni ikafilisika.Kama huna pesa sawa, Nina watoto name, wake wawili,
Watoto kila mmoja anasoma kwa milioni 3 kwa mwaka,Nina kampuni, nimeajili watu 40! Turnover kwa mwaka bilioni 3.4!
Nina assets, apartments 5,zinaingiza 2.5 milioni kwa mwezi! Huo, umaskini utatoka wapi? May be Li Maggufuri lingine lije,liniweke jera.
Usitupige Kamba hapa.Dah! SISI tumezliwa 16 kwa Mama Mmoja, na wala Mzee hakuna hela sana, rather commitment.
Wote, narudia wote, mwenye elimu ndogo ni 1 degree, alisomesha, wengine tumesomeshana, na hali nzuri.
Kuna walizaliwa 2 wenye millions of money, wote dropped out of school, wengine walitumia madawa ya kulevya.
Tushalizika haliwez rudi tena,lilitufanya tuishi kama mashetani Kwa wivu wake usio na sabb..Kama huna pesa sawa, Nina watoto name, wake wawili,
Watoto kila mmoja anasoma kwa milioni 3 kwa mwaka,Nina kampuni, nimeajili watu 40! Turnover kwa mwaka bilioni 3.4!
Nina assets, apartments 5,zinaingiza 2.5 milioni kwa mwezi! Huo, umaskini utatoka wapi? May be Li Maggufuri lingine lije,liniweke jera.
ila tafuta kihalali uifaidi kihalaliHaujakosea bro, ni ukweli mtupu. I experience the reality
Usitupige Kamba hapa.
Hapa hatuzungumzii Shule dogo. Tunaongelea kutoboa