Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Unajuaje hajajichunguza?

Na kwa nini inabidi watupe majibu?

"Wawape majibu wewe na nani?
ha ha ha,kwa nini tunajifunza theory za watu waliotangulia mbele za haki?
 
Kwani hao wametangulia mbele za haki?

Na unaelewa swali likiuliza kwa nini inakubidi kunywa maji si sawa na swali linalouliza kwa nini unakunywa maji?
ha ha ha ha,leta majibu mkuu yaje yawe rejeo kwa kizazi kijacho
 
Kila mtu ana deadline yake, ukianza kuogopeshwa na umri utakimbizana na deadline za wengine.

Stick to your deadline no matter what!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…