Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina 35 kweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha,kwa nini tunajifunza theory za watu waliotangulia mbele za haki?Unajuaje hajajichunguza?
Na kwa nini inabidi watupe majibu?
"Wawape majibu wewe na nani?
Si lazima mkuuKwani ni lazima
Ulikiangalia vibaya..
🤣Wee... Sema kweli?!Naona Mwamba unacheza kama Pele au Mlela.
Kwani hao wametangulia mbele za haki?ha ha ha,kwa nini tunajifunza theory za watu waliotangulia mbele za haki?
ha ha ha ha,leta majibu mkuu yaje yawe rejeo kwa kizazi kijachoKwani hao wametangulia mbele za haki?
Na unaelewa swali likiuliza kwa nini inakubidi kunywa maji si sawa na swali linalouliza kwa nini unakunywa maji?
Kweli mkuu,ila wa miaka 50 si sawa na wa miaka 20Umri ni namba tu
Nakuja wapi hata maandalizi hufanyi bwana...Tatizo lipi bebi, mwezi desemba sindio huu unakuja mama.
Sasa hata mshahara bado mama tulia tuukaribie mwishoNakuja wapi hata maandalizi hufanyi bwana...
ha ha ha ha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwiiiiii
Niache na 35 yangu smart911..
[emoji3][emoji3] haya bebi, ukikwama mahari niambie nikuongezee mpenzi wanguSasa hata mshahara bado mama tulia tuukaribie mwisho
Katiba ya mabaharia inaeleza vizuri kabisa mkuuHii IPO kwenye katiba ibara ya ngapi mkuu!?ama kitabu gani cha dini!?