Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Lakin sio kubwa mkuu kias cha mtu ku kuchanganyikiwa. Vyumba viwili au chumba na sebule na choo ndani tofali 630 tu

Nyumba inajengwa kwa gharama ya tofali?
Kiwanja,cement,mchanga,usafiri,ufundi,mabati na mambo mengine umeyapotezea kabisa sio?
 
Maisha hayana formula, acha kutisha watu. Hakuna kuchelewa au kuwahi katika haya maisha. Acha kila mtu aende kwa spidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…