Mimi juzi nmetoka kupiga chini mchaga wa sita au saba kwenye mahusiano kisa huu ujinga kwasababu wote tunafanya kazi moja sometimes kipato umemzidi kidogo lakini anataka kuwa tegemezi Kwa asilimia miaWalikuwa wanasema ni mimi tu ndio mwenye huu uzoefu. Kwa ufupi, huu ni ukweli mtupu
Du, umejuaje kuwa mimi ni zwazwa? Umepatia kabisa. Pia asante kwa kunikumbusha, nilikuwa sijawapima DNA, ila wote walicheck malaria na typhod wakakuta hawana. Nitawakumbusha wakapime DNA, isije ikawa wameambukizwa.Basi wewe ndio zwazwa, maana mademu wa kichaga wakipataga zwazwa ambalo kila kitu ni Yess... Kwa sisi tunaotambua kuwa Mfumo wa familia na upngozi wake inakua ngumu. Alfu kingine, umewahi kuwapima DNA hao watoto aliokuambia ni wako ??😄
Kwann wengi wawaseme ktk hiyo kitu. Lisemwalo...Ili utafiti ukamilike inatakiwa utembee na mabinti wa makabila mengine kwa 80% ili utafiti wako uitwe utafiti.
Tanzania kuna zaidi ya makabila 120, hivyo inaonekana ulitembea mabinti wa kichaga 96 alafu makabila mengine yaliyobaki hukuyamaliza.... Katika makabila 119 yaliyobaki ulitembea na binti mmoja mmoja na bado hukumaliza makabila yote, hivyo huu bado sio utafiti
Tunaogopa kuuliwa.Kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu, hao ndio wanawake wa kuoa.
😂😂Mkifika kwa Wanaume wa kipare au Meru mnistue nina jambo nao.
😂😂😂😂😂
Hatari sanaAs the family wealth increase ....the men death become near
Asikupumbaze usubiri utafiti wa akina Okita Wamahusiano..akina mahuki.Kwann wengi wawaseme ktk hiyo kitu. Lisemwalo...
😂😂😂😂😂😂Mama wa kichaga baada ya kumzika mumewe!View attachment 3331811
Kama baba Yako alia mchaga....na kazeeka nae ....basi nyie ni maskiniBaba na mama wamezeeshana/ ZEEKA PAMOJA.
Anniversary zaidi ya 45's kwao na wame kick life & odds
Asijaribu hata kuwasemesha, waacheni waone wao kwa wao hata wakimalizana fresh tu, kama wao kutoa kafara waume zao ni kawaida si bora wapungue tu.Nina Mwanangu wa kiume hajaoa! Naona nianze kumpa wosia asithubutu.
😄😄😄😄😄😄Kama baba Yako alia mchaga....na kazeeka nae ....basi nyie ni maskini
Otherwise angekuwa kashaenda....kama mngekuwa na pesa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hizo ndio Tabia zao, ni wajanja sana mnapoanza mahusiano unaweza sema nimeokota dodo kumbe wewe ndio umeokotwa kmmmke.. Mademu malaya sana hawa na mbaya zaidi kwenye ndoa wao wanataka utawala. Ndoa za wachaga zinazodumu hadi leo ni zile mwanaume hana sauti na masikini. Ukiwa mjanja anaomba takaka na ukiwa tajiri anakutoa kafara abakize kampuni.Dah,
Kwamba mwanaume anageuzwa muwa, anakamuliwa kikamilifu halafu anatoswa!!
Nawewe unataka unipe ??Huwa nawashangaa mabinti wa kichaga wanao toa uchi kwa dizaini ya huyu mtoa mada
Hapana mkuu mimi situmii , mimi natumia wanawake tu bwasheeNawewe unataka unipe ??
Duniani kote wanaume tuna birth rate kubwa na Death rate kubwa kuliko wanawake kwahiyo ulichoandika ni upuuziHawa sio wakukaa nao kindezi, hawashindwi kukutoa kafara. Anagalia mashangazi wengi wenye pesa mjini waume zao wameshatangulia. Kwahiyo ukiwa unakula hawa mademu, kula huku ukijua muda wowote kinawaka
Shapeless [emoji23]Mama wa kichaga baada ya kumzika mumewe!View attachment 3331811
Umejuaje