Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Mmekuja kujipigia debe baada ya kukosa soko? Akili wala ujinga havitokani na kabila we bwege
 
Ni kweli mkuu mimi mtoto wa mama mdogo kaoa Chaga pale Arusha kwa sasa huyo dogo hana mawasiliano kabisa na wanafamilia.yuko kipeke yake tu na makazi kayaweka Arusha na nyumbani kwao hana hata kibanda.
 
Mkiambiwa muoe kwenu hamtaki kazi kuendekeza nyege zenu kwa mabinti wa kichaga Wacha wawanyooshe, mpk akili zikae sawa,

Afu kuwaita malaya, kila kabila hasa ke ni Malaya, maake naona umekaa Arusha unajua kila mtu mchaga, mnanishangaza sana ninyi,
 
Hawana maajabu yoyote hao dada zako...mapenzi yenyewe hawajui
 
Kwani wanawake wa.eisha hadi uangukie kwa chuma ulete? Hao wanadumisha mila na kaka zao ujue
 
Mkiambiwa muoe kwenu hamtaki kazi kuendekeza nyege zenu kwa mabinti wa kichaga Wacha wawanyooshe, mpk akili zikae sawa,

Afu kuwaita malaya, kila kabila hasa ke ni Malaya, maake naona umekaa Arusha unajua kila mtu mchaga, mnanishangaza sana ninyi,
Hao dada zako ni malaya, wamejificha kwenye kwaya na makanisani huko.
 
Ume generalize kabila, lakin sion mahal kuna exception ya watu au mtu.

Wapo wenye tabia hizo, si wadada wote wa kichaga na si familia zote.
Itategemea amelelewa wapi kwenye makuzi yake, na hiyo ndio factor kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…