Kama una kijana kamaliza form six anakueleza kusoma nchi hizi mchunguze kwanza kabla hujalia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.

Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.

Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.

Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.

mnaweza kuongeza mengine
 
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine.
kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera ushoga,itikadi za imani kali,mambo ya ajabu.Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.

mnaweza kuongeza mengine
Sasa mtoto kama hataki u Engineer utamlazimisha awe Engineer?
 
E
Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.

Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.

Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.

Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.

mnaweza kuongeza mengine
Ti

Eti kaishia kuwa dj kwenye ma club utadhan u dj ni kazi ya ovyo wakati kuna ma dj wamekuwa hadi mamilionea ...kifupi wabongo tuache kukariri maisha kazi nzuri sio kuwa doctor ,engineer, au uanasheria pekee yake
 
Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.

Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.

Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.

Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.

mnaweza kuongeza mengine
Mtoto kuamua kuwa mfanya biashara it's a plus, inakuwa amejiongeza sana huko alikoenda kwa ajili ya masomo.
Kuwa na tattoos kama kimasomo anaendelea vizuri pia hakuna tatizo.
 
Kuna yule dada tiktoka anajiita sijui Lee misamba yule naye aliendaga nje kusoma matokeo yake akajikuta ameingia kwenye matumizi ya madawa na pombe, sasa hivi kidogo ana nafuu ila hata anayoyafanya bado anaonekana hayuko sawa mentally
Mtoto wa kike utembea na mtaji wake anaweza akawaletea mkwe mzungu ni kawaida tu
 
Back
Top Bottom