shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Nasemaje,kwa haka kabinti hatucheki na wowote tutaroga mtu😎😎😎😎😎Niunganishe nikalee

Chinua achebe aliandika kuwa obi alitumwa kusoma law akasomea literatureHii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.
mnaweza kuongeza mengine
AiseeHii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.
mnaweza kuongeza mengine
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunako kabinti kwenye familia kanatarajia kwenda chuo kana penda maisha flani hivi halafu hakana hela,tunajipanga Tu kukapa lecture na kukafuatilia kwa karibu maana hakaaminiki kabisa!!
😂😂😂😂😂😂Niunganishe nikalee
Sijakuelewa au ninyi ndiyo hamkumuelewa mtoto wenu?Mlifuatilia kwa umakini kweli alichokusudia kwenda kusoma huko?Ninyi ndiyo wazembe.Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.
mnaweza kuongeza mengine
😩😩😩 aisee kwa iyo hawa watoto wetu tufanyeje kusomesha tuacheMaisha ya sasa hivi elimu ni kama uchoko unamaliza ila tunarudi Kule kule kupambana ambao hawana elimu
USA mtoto anaweza kuwa shoga kabisa,nimeshuhudia hiiHii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.
mnaweza kuongeza mengine
Hata Tanzania machoko ni wengi na US wanapaona kwenye screen tu.USA mtoto anaweza kuwa shoga kabisa,nimeshuhudia hii
Uko sahihi kabisa. Ujumbe kwa wazazi: Usikimbilie kufadhili bila kuelewa mwelekeo wa mtoto.Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika mfano wa mikoani wana ndoto ya kusoma jiji la Dar na wengine mikoa fulani.Tuje kwa hawa watoto wenye ndoto ya kusoma nchi za watu sasa.
Mtoto usipomchunguza kwa makini unaweza kujikuta umepoteza vitu hivi viwili kupoteza ada au kuja natabia zengine. kwenye kupoteza ada hapa wengi ni wale wanaokwenda kusoma china naona wengi wanaishia kuwa wafanyabiashara ni bora kutambua kuliko kupoteza pesa kumbe mtoto unajua anasoma fani fulani kumbe kanogewa na biashara.
Kuja na tabia zengine kitu ambacho mtoto huko alipo uwezi kujua uhuru wake mfano nchi ambazo zenye sera kama itikadi za imani kali, .Mfano kuna mzee mmoja miaka ya nyuma alimpeleka mtoto wake USA kusoma na kipindi cha zamani kulikuwa hakuna whatsapp wala mambo ya kutumiana picha mitandaoni aliporudi kaja na matatuu mwili mzima.
mnaweza kuongeza mengine
Hako kanakwenda kuolewa kwa ndoa bubu za vyuoni miaka mitatu kanaishi kinyumba na msela mwenye vihela mbunye ya bure for 3 yrs. Sad!Tunako kabinti kwenye familia kanatarajia kwenda chuo kana penda maisha flani hivi halafu hakana hela,tunajipanga Tu kukapa lecture na kukafuatilia kwa karibu maana hakaaminiki kabisa!!
Story ya Master J na Baba yake hii...Sasa mtoto kama hataki u Engineer utamlazimisha awe Engineer?
Nilitaka kua Daktari but I facked my Biology & Chemistry teacher's, I facked 'em very harder mpaka wakaninyima marks za CAHii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.