kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yeah! Ashukuru amepata wazazi waelewa kama wangemlaumu na kumtenga nadhani ndiyo angeharibikiwa zaidiNilikuwa namfuatilia kidogo, kwasasa nafuu ipo sana. Pia, wazazi wake wamechangia katika mabadiliko yake. Wanaonekana ni waelewa sana na walikubaliana na matokeo