DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Si kwa ngozi ile inayowaza uzinzi, uasherati, visasi, kujilimbikizia mali kwa ufisadi, rushwa, wizi, ujivuni, ubinafsi, husda, chuki, uzandiki, dharau, masimango, matambiko, ulozi na kila aina ya ushetani.Kama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu.
Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU
Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na leo majina yao yameandikwa na katika mioyo ya WATU.
Elezea namna ya ku expose hicho kipaji mkuu kwa mifano michacheKama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu.
Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU
Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na leo majina yao yameandikwa na katika mioyo ya WATU.
ChaiKama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu.
Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU
Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na leo majina yao yameandikwa na katika mioyo ya WATU.
Waafrika wanapenda kuwatumia wengine kwa faida zao. Utakuta mtu hana weledi wewe ndio master kwenye taasisi ila yeye ndio ananga'ra na kutumua kipaji chako kujinufaisha kwa cheo, pesa nk.
Aisee mie nimeamua kutotumika na mtu yeyote kunufaika kupitia rlimu yangu, talanta yangu na ubunifu wangu. Nilijaribu mahala kajamaa kakanza kujitapa kuwa kenyewe ndio kameleta positive impact. Nikaamua kuwa kinyonga.
Hakuna anaejua rangi yangu, bora kipaji kife na kweli kipaji hufa kama hakitumiki.
Mfano, mimi ni mmoja wa watu waliopata kujifunza stadi ya mchezo wa basket ball kutokana na tabia za watu wanaonizunguka nimeamua kukalia ujuzi na kipaji hicho bila kumnufaisha mtu yoyote yule( uchoyo). Nimepanga kuanza kuwafundisha watoto wangu na watu wa karibu na mimi tu. Atakae niona na kutamani hio karama na kutaka watoto wake wajifunze kwangu basi TUTAKAA MEZANI tufanye biashara ya kuambukizan ujuzi, kwa malipo.
Siwezi kuwa daraja la mwingine kutajirika alisema mwarabu wa wasafi group.
Kama una mtoto wa kariba ya urefu nipo kwa ajili ya kuuza ujuzi huo.
Shule hazifundishi hizo stadi za utajiri.
Kwangu mimi hakuna cha bure kama mtibeli.
Kuna inderect exploitation of talents.. hasa kwa viongozi wa taasisi .ππ
Ni kweli kabisa.
Kama unakipaji alfu unalala njaa alafu kuna Watu wanatumia kipaji chako basi wewe ni mjinga wa mwisho.
Hata mimi sifanyagi kitu bure kwa Watu ninaojua wanaweza kunilipa.
Bure ni kwa Watu wasiojiweza au ninaowapenda tuu
Kuna inderect exploitation of talents.. hasa kwa viongozi wa taasisi .