Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

Mwanaume hana shida hata akijipata na 35 ataoa kabinti ka 25

Shida ni kwa hiyo mishangazi ya 27+
Mwanaume ana shinda unafikiri hao mabinti nao wanawataka mababu? Unafikiri yeye hataki kijana mwenzake wa kuuza naye sura insta?
 
maisha yenyewe mafupi haya ndugu,..🤣😂😂mutuache tu
 
Umepiga kwenye mshono ngosha
 
uzi ufungwe umemaliza kila kitu mtaalam🤣🤣🤣🤣ego ya kumiliki viwanja ndo inafanya kuwe na miji na makazi holela ikichangiwa na hawa mabwana wadogo wageni wa jiji wanaotaka kupangiwa watu maisha.
 
Sivipend vitanda vya chuma aiseeeee!!! Unalalaje kwenye silaha??
 
Umaskini wa kutomiliki pesa na umasikini wa kutomiliki makazi kwa wenzetu ni mzunguko unaokimbiana uwiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…