Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Anaolewa hata wanaume kutokana na mabadiriko ya uchumi na utafutaji wanachelewa sana kuoa ndio Kuna wengi Wana 35 na hawajaoa nasio kwamba wameupenda hiyo hali
Mwanaume hana shida hata akijipata na 35 ataoa kabinti ka 25
Shida ni kwa hiyo mishangazi ya 27+
Shida ni kwa hiyo mishangazi ya 27+