kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Hapa nilipo kwa sasa ni padogo
Hivyo cycle ya mahusiano ni mtindo wa kupasiana
Kutokana na nature ya kazi na eneo lilipo imefanya kua na mawasiliano na ukaribu na watu wengi tofauti
Juzi kati nkawa na moja ya madactar wa moja wa kituo cha afya cha hapa
Kuna dada (bar maids) aliwahi kufanya kazi mafinga...kwa bahati mbaya akapata HIV
Akaja hapa kufanya kazi moja ya bar changamfu za hapa
Kuna jamaa yangu wa kitaa alikua anaenda anamnunua yule manzi then anasex nae
Baada ya jamaa kua ni mteja wa kudumu ikapelekea kua kama na mahusiano hivi
Kiasi kua yule dada akishapiga show time zake anaenda kupoa kwa mwamba
Kwa bahati mbaya hawakua wakitumia kinga
Juzi kati ndioo wakaja pale kwa yule jamaa yangu kupima baada ya dada kuhisi kama anamagonjwa ya zinaa
Kuna kipimo cha HIV nmekiona hivikaribuni kinasoma hata magonjwa kama kaswende na mengine
Baada ya kupima ikaonakana vyote vimo
(Remember wakati huo jamaa yupo kwa nje anasikilizia tu manzi atoke wasepe)
Wameshakua na mahusiano kwa miezi miwili hivi na wanachapana kavu yani
Mambo mengine ni MUNGU tu...
Even my self nshaoita maeneo hayo daaah! Anyway tujitahid tuwe makini