Ukienda beach kuna wabongo kama manzeseee jichabganye wasikie kiswahili utawapendaJamaa ni mshamba sana. Kuna wabongo hatari wapo hadi kwenye systems za nchi jirani wanakula na wakuu wa huko. Wengine hadi NIDA za huko wanazo hawasumbuliwi.
Umewasahau na wakongoman mkuu.Wanyarwanda na waburundi nao hawako nyuma kuingia SA.
Shukran π
Haujaelewa kivipi mkuu ili nikuelekeze!!Hii ya mwisho sijaelewa
We nenda tu cha msingi unayo makalio
Hawa jamaa noma sana mkuu.Hata ujitetee kwa English yako ya kuunga unga hatokuelewa. Naomba niishie hapa
Karibu ukaribishwe mkuu.Nikipata mzigo nitakwenda kutembea kwa mwezi mzima
Durban nimeshafika lakini sijawahi kuishi. Kumenikalia kushoto sana. Maisha yangu nimeishi zaidi Johannesburg, Pretoria na kidogo Capetown.Nipe experince ya durban nitakuwa huko kwa miaka kama minne hv nafanya kazi professional na ni mmenda K kwa asili
Zinaruhusiwa kuvuta moja mbili, lakini wakikukuta na lundo wanajua unafanya biashara halaf haulipi kodi. So wanakung'oa.Ni kweli bangi zinaruhusiwa?
Mashangazi wapo hela yakoo tu kila nchiDaaah your genius man mkuu solute kwako..
Umeongea kitu ambacho very important aiseeee π
Kweli, hapo pembeni yetu kwa yule jamaa fulan tolu mwembamba. Kuna mkuu wake wa jeshi yani CDF wake ana majina yote ya Tanganyika. Sema ndo hivyo jamaa ameokota dodo kichakani mwache alile mdogo mdogo.Jamaa ni mshamba sana. Kuna wabongo hatari wapo hadi kwenye systems za nchi jirani wanakula na wakuu wa huko. Wengine hadi NIDA za huko wanazo hawasumbuliwi.
Hatari sana. Mimi ninaowajua wengi wamebadili majina kabisa.Kweli, hapo pembeni yetu kwa yule jamaa fulan tolu mwembamba. Kuna mkuu wake wa jeshi yani CDF wake ana majina yote ya Tanganyika. Sema ndo hivyo jamaa ameokota dodo kichakani mwache alile mdogo mdogo.
Ndio dunia ilivyo. Ukiwa na manufaa watu wenye kuhitaji manufaa yako watakutumia kwa faida yao.Hatari sana. Mimi ninaowajua wengi wamebadili majina kabisa.
Mbona heading imefafanua vizuri mkuu ππNilikimbilia haraka nikajua unamaanisha Ukanda wetu huu wa Njombe, Songea, Chitohori, Kifanya, Mchomolo kumbe South huko Sina cha kuchangia
Sio kweli ulichoongea mtu yeyote mwepesi kujua lugha atajua tu hata akijua lugha ingine..Kuzishika hizo lugha lazima uwe hujui kiingereza wala kiswahili. Waburundi ndo huwa ni ma-master wa kujua lugha za watu. Wenyewe wanasema french ni lugha ya kimaskini.
We ni mshamba alafu unaona kuishi sauzi ni ujanja sanaNimempa za uso mpaka sasa hajarudi tena. Anajifanya ujanja mwingi na wakati anaonekana kabisa kuwa mbele kiza. ππ€£
Mkuu usitumie nguvu sana kwenye kuelezana kupata kazi SA ni connection wapo Watanzania wanafanya kazi kwenye Bunge la SA na wengine wapo Jeshini, Bank ndio wamejaa sasa ukiwa umetoka life tofauti na wao hauwezi kuwajua mpaka unarudi Tanzania hata hapo hapo Tanzania yapo maisha utayasikia tu kama hauna connection yeyote Watanzania sio kama mataifa mengine akiwa na fursa anaweka ukuta msikutane labda uwe ndugu yake...We ni mshamba alafu unaona kuishi sauzi ni ujanja sana
Konda msafi amesema kuna kazi formal kuzipata ni ngumu kama udoktar kwenye hospital za serekali, uhasibu achana na hizo huko hotelini
Bob ulipotelea wapi?Ubalikiwe sana
Mwanaume mzima unajiita mama alafu unaita wenzako washambaJamaa ni mshamba sana. Kuna wabongo hatari wapo hadi kwenye systems za nchi jirani wanakula na wakuu wa huko. Wengine hadi NIDA za huko wanazo hawasumbuliwi.