Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Jamaa ni mshamba sana. Kuna wabongo hatari wapo hadi kwenye systems za nchi jirani wanakula na wakuu wa huko. Wengine hadi NIDA za huko wanazo hawasumbuliwi.
Kweli, hapo pembeni yetu kwa yule jamaa fulan tolu mwembamba. Kuna mkuu wake wa jeshi yani CDF wake ana majina yote ya Tanganyika. Sema ndo hivyo jamaa ameokota dodo kichakani mwache alile mdogo mdogo.
 
We ni mshamba alafu unaona kuishi sauzi ni ujanja sana
Konda msafi amesema kuna kazi formal kuzipata ni ngumu kama udoktar kwenye hospital za serekali, uhasibu achana na hizo huko hotelini
Mkuu usitumie nguvu sana kwenye kuelezana kupata kazi SA ni connection wapo Watanzania wanafanya kazi kwenye Bunge la SA na wengine wapo Jeshini, Bank ndio wamejaa sasa ukiwa umetoka life tofauti na wao hauwezi kuwajua mpaka unarudi Tanzania hata hapo hapo Tanzania yapo maisha utayasikia tu kama hauna connection yeyote Watanzania sio kama mataifa mengine akiwa na fursa anaweka ukuta msikutane labda uwe ndugu yake...
 
Back
Top Bottom