Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tunduma watu wamechangamka sana mkuu labda utaje mji mwingine na kumbuka Tunduma watu wanatoka sana aisee..Huyo kijana anaonekana hajui chochote kinachoendelea nje ya Tanzania achilia mbali SA. Ni kijana anaeonekana hajatoka. Hawa ni wale vijana wa Tunduma pale mpakani ambao wengi wao hupewa story mbili tatu na watu wanaotoka SA, kisha wao huichukua hiyo story na kuwasimulia wenzao kama hivi bila kujua kwamba katika wasimuliwaji kuna wale ambao wanafahamu kindaki ndaki kile wanachosimulia pengine zaidi yao wao. So mtu kama huyo ni wa kumuelewa na kumpuuza tu.
Hiki ulichoandika hapa, ndicho nilichoandika mimi katika thread huko juu. Sasa akaja kijana asiejua kinachoendelea nje ya Tz na kuanza kunipinga kana kwamba yeye anaijua dunia kuliko watu wengine.Kila kazi ya maana ilimradi umelizika nayo haya maswala color job na physical hayana maaana kabisa, mbona mwanvita alikuwa sa anafanya kazi voda na alikuwa anavuta kibunda kwani hakuna wsa wanaoweza kufanya?
Ndio hivyo hivyo mkuu, wala haujakosea.Mkuu me nataka kujua hivi uki over stay si ndo inabidi uishi kwa kujificha ili uepuke kamata kamata ya askari wa migration mitaani? Au hii imekaaje kwa uelewa wako
🤣🤣🤣🤣Sana aisee siku napanda basi kutoka cape kuja Pretoria ku clear mambo ya passport nilisema Asante Mungu maana mikononi mwa patrol ya police nimenusurika mara tatu
Mikononi mwa gangs mara mbili mbaya Moja haikuwa mbaya sana
Usiku mbaya Woodstock kwa walioko Cape town wanapajua
Pretoria yenyewe amanusura nizichange vibaya aliniokoa jamaa mmoja m colored kwa kunipa info late sana nikala bus kwenda Joz kulala park station three days
Park station penyewe ilibidi nipigane na wamalawi vibaya sana wao wakijua mi mmalawi na watz wanajua mi mrundi basi tafrani kwa kweli kurudi tz nilishukuru na yes lilikuwa tanuru la moto
Tatizo watu wanajua sana hata wasivyovijua, Yaani ni kama mtu aliyesoma mpaka ngazi ya degree na bado akashindwa kujua alichosomaHiki ulichoandika hapa, ndicho nilichoandika mimi katika thread huko juu. Sasa akaja kijana asiejua kinachoendelea nje ya Tz na kuanza kunipinga kana kwamba yeye anaijua dunia kuliko watu wengine.
Tembea uyaone usioyajua 🤣🤣🤣Hili la kukaa siti ya mbele kwenye daladala, limeniacha mdomo wazi. 😀😀😃😁
Mkuu Dr Matola PhD ushauri unaompa jamaa yetu ni mzuri. Lakini huo wa kuhusu train kwa sasa ni kama haufai. Toka corona ilipoisha ule usafiri wa train umesimama maeneo mengi sana. Mfano train ya kutoka jozi hadi PTA kwa sasa hamna. Hata ile ya kuelekea Tembisa na baadhi ya maeneo ambayo wanaishi wageni wengi hamna.Ukiwa bado fresh panda train achana na hizo daladala wanazoziita tax.
Train zimepita location zote muhimu.
Mwanaume unajiita mama wewe ndo wakuka na kina mashauzi sababu ni mama kama weweHongera sana. Kupitia comments zako nimeona una kipaji kikubwa cha muziki wa mwambao yaani TAARAB. Mwone Isha Mashauzi akuunge kwenye kundi lake.
Mwanaume unajiita mamasamia seriousKwenye nyuzi kama hizi lazima wajinga muwepo.
Ninachofahamu mimi ukiwa na passport ya nchi nyingine alaf ukatumia details zile zile ulizotumia kwa passport ya mwanzo itakuwa rahisi mno kukukamata. Ila huyu mwana aliechukua kitabu cha Malawi aliondoka bongo kitambo kabla hatujaingia kwenye SADC, alaf kipindi kile passport nyingi hazikuwa kwenye system hivyo kuwa rahisi mtu kumiliki passport mpaka 2 au 3 za nchi tofauti.Hivi mkuu kuna kitu kuhusu passport huwa sijapata majibu kabisa... mtu mwenye passport ya nchi nyingine anawezaje kuitumia kama alishawahi kuwa na passport ya TZ? finger prints si zitaleta shida wakati wa kuvuka?
Enzi za kitabu cha kijani?Ninachofahamu mimi ukiwa na passport ya nchi nyingine alaf ukatumia details zile zile ulizotumia kwa passport ya mwanzo itakuwa rahisi mno kukukamata. Ila huyu mwana aliechukua kitabu cha Malawi aliondoka bongo kitambo kabla hatujaingia kwenye SADC, alaf kipindi kile passport nyingi hazikuwa kwenye system hivyo kuwa rahisi mtu kumiliki passport mpaka 2 au 3 za nchi tofauti.
Yeye aliondoka bongo na kibiashara. I mean alikuwa anapiga biashara kati ya Tz na Malawi mwaka 2001.Enzi za kitabu cha kijani?
Yani noma bingwa wangu!Daah hiyo ya mwisho nimeielewa aise.
2001 mbali sana. Miaka 23 iliyopita.Yeye aliondoka bongo na kibiashara. I mean alikuwa anapiga biashara kati ya Tz na Malawi mwaka 2001.
Mwisho wa siku akapata dem wa kichewa na kulowea Malawi.
Mwaka 2012 akaenda katika ofisi za uhamiaji ya Malawi, akajifanya yeye Mmalawi na kupewa passport kama kawa 🤣🤣🤣. Naweza kusema kuwa kwa dunia ya leo ukiijua lugha ya nchi fulani kwa ufasaha, na kukariri vijijini fulan vya nchi husika.2001 mbali sana. Miaka 23 iliyopita.
Sisi tushapoteza matumaini ya kumuona akiwa hai.Inawezekana akawa ashakufa, yupo jela au mtaani ila kapoteza na kuacha kuwasiliana na familia. Kama yupo hai basi kuna siku tu utapata habari zake.
Kwanini mpoteze matumaini mkuu?Sisi tushapoteza matumaini ya kumuona akiwa hai.