Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tunduma watu wamechangamka sana mkuu labda utaje mji mwingine na kumbuka Tunduma watu wanatoka sana aisee..Huyo kijana anaonekana hajui chochote kinachoendelea nje ya Tanzania achilia mbali SA. Ni kijana anaeonekana hajatoka. Hawa ni wale vijana wa Tunduma pale mpakani ambao wengi wao hupewa story mbili tatu na watu wanaotoka SA, kisha wao huichukua hiyo story na kuwasimulia wenzao kama hivi bila kujua kwamba katika wasimuliwaji kuna wale ambao wanafahamu kindaki ndaki kile wanachosimulia pengine zaidi yao wao. So mtu kama huyo ni wa kumuelewa na kumpuuza tu.