Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Ni kweli mkuu, kuna maeneo mengine ni hatari kwa train, haswa Capetown waxhosa wanakukaba mchana kweupee na watu wanaona 🤣🤣🤣
 
Ni kweli mkuu, kuna maeneo mengine ni hatari kwa train, haswa Capetown waxhosa wanakukaba mchana kweupee na watu wanaona 🤣🤣🤣
Foreigner kuishi location ni uzembe uliopitiliza.

Ni bora mkashare nyumba watu kadhaa mnachanga kodi mnamlipa mwenye mjengo au home finder kuliko kukaa location Langa, Gugu letu na Khayelitsha kwa sababu bei ya nyumba ni kitonga wakati risk ni kubwa sana, watu smart kichwani hawafanyi ujinga huo, bora hata ujichanganye na Warangi woodstock na advantage ya wood stock unakwenda town kwa mguu tu upandi treni wala tax.
 
Kweli mkuu. Maisha hayo ya kujitupa location washakuwa nayo wamalawi. Baadhi ya ndugu zetu wameshashtuka.
 
Kikubwa kama upo na watu waelewa mna mishe zenu kipato cha uhakika hata wanne mnachukuwa appartment moja mnashare kodi tena sea point kabisa au Camps bay unadinda na wapopo.
Huku kupata work permit mwa mtu mwenye documents tokea home kuna wepesi?? Mfano natoka sahivi naenda nina passport na balance mfukoni hata ya kunikimu kwa miezi 6 au zaidi....karatasi za shule pia zipoo, ukifika kule hizo permits na nini kuna uzito kiasi gani mbaka ukae sawa maybe??🧑‍🦯‍➡️
 
Namba 5.

Mkuu maboneng na Underson street and Harrison unaicha vipi Reef Hotel pale club moja matata ipo juu ya ghorofa?

JoJo
Cosmopolitan
HQ
Bila kusahau Royal park Hotel.
unainaje pale alafu siku moja moja usiende kuenjoy haiwezekani.

Konka unapaonaje mkuu balaa kabisa.

Ukitafuta pesa usisahau na kuishi pia siku moja moja.
 
Ninachofahamu mimi viza ya work permit unaipata ubalozini. Hapa ni zile viza za kuingia na kutoka (visitor).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…