Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Operesheni kama hiyo ingefanyika hapa Tanzania ungesikia chadema wakihamasisha maandamano.
 
Huu utaratibu kama kwetu Mbagala kila siku dereva anakuwa anapokea nauli pungufu tu.
Huku ni levo siti hakuna kusimama. Hivyo dereva anakua anajua amepakia watu wangapi kulingana na viti vyake.

Hapo haipungua hata shiling 10. Na ikipungua ana deal na mpokea hela mbele au ingiza gari polisi 🤣🤣🤣
 
Hii nmba sita 6 nimeisiia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…