Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #441
Wa south wanapendelea zaidi nyama haswa ya ng'ombe na ugali. Asilimia 98 hawali samaki na wakati eneo kubwa sana la bahari mbili tofauti zimepita kwao.Iv chief chakula kikuu kinacholiwa sana na wasouth ni kipi?