Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #401
Nipo Pretoria West.Safi mwanawane bongo kwenyewe miyeyusho tuu kazi hamna wacha nije huko. Upo mji gani mwanawane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Pretoria West.Safi mwanawane bongo kwenyewe miyeyusho tuu kazi hamna wacha nije huko. Upo mji gani mwanawane
Ulichoandika kina ukweli. Yani mtu kukuua sababu ya sh 50 yake ni kitu cha mawaida. Pia pale airport ndio balaa. Sio kila alie pale ni msafiri au dereva wa tax. Wengine ni majambazo ambao kazi yao ni kufuatilia watu wanaofika pale wawakabe mbele ya safari.Uzi huu umenikumbusha mbali sana way back.
Nimeshuka OR TAMBO chap natoka nje nakutana na wabongo wanaongea kiswahili pale tukawakataa. Mana tayar nilikuwa na mentality kuwa wabongo wa kule wengi miyeyusho
Tunaenda kuchukua tax ili tuende Station pale tunaona polisi wanatuzuia tusichukue ile tax eti sio salama na badala yake wakatuelekeza tax nyingine.
Tumepanda ile tax rasmi ya airport ndio dereva akawa anatuambia hizo tax bubu wengi majambazi wanakuambia bei rahisi ili ukubali mkifika njiani anakuambia hela kubwa kama Huna anakutolea mguu wa kuku na kukupora ulichonacho na anakuacha njiani...
Nikajisemea kichwani hii Africa bado ni bara la giza yan mtu yupo tayar kukudhuru ili apate tu hela akanywe pombe na kustarehe na wanawake
The first time kumuona mzungu omba omba ni South aiseee nimekaa nakula msosi mixer kuku kwa rand 25 tu naona mzungu anakuja kachoka kama katoka mbagala kibonde maji
'Anasema can we share a plate my friend?
Doh.
Hahaha kazi imeanza, mkaburu hana mchezo. Si unaona yule m'nigeria alivyovuliwa taji kwa sababu ya uraia wake wa kuunga unga 🤣🤣🤣Kama ni hivyo safi sana...👌
Hyo imenipita mkuu hata sijui...Hahaha kazi imeanza, mkaburu hana mchezo. Si unaona yule m'nigeria alivyovuliwa taji kwa sababu ya uraia wake wa kuunga unga 🤣🤣🤣
Ok...sio mitaa ya arcadia, hatfield mamelodi au sunnyside 🤣🤣🤣🤣Nipo Pretoria West.
Ni kweli kabisa serikali nayo inamapungufu hii ya south haiwezekani matukio yawe limit hivi?Kuuana kisa simu.
Hivi serikali ya SA imejipanga vipi kupambana na huo uhalifu?
Wale bado hawajapata kiongozi bora wa kusimamia hayo, matukio, haiwezekani serikali ishindwe! kama sisi huku tulivyompataga 'magufuri ilikua hakuna kushidwa jambo?Serikali inajitahidi kupambana, sema ndo hivyo nchi ya kihalifu ni ya kihalifu tu mkuu.
Hao wameendekezwa, inapaswa kitengenezwe kikosi kazi, ukikamatwa muhalifu ni shaba za kutosha zinakuhusu.Ni kweli kabisa serikali nayo inamapungufu hii ya south haiwezekani matukio yawe limit hivi?
Kuna mkaburu mmoja namfahamu anapikaga ugali, wazungu wa SA ni ngozi nyeusi wale.Uzi huu umenikumbusha mbali sana way back.
Nimeshuka OR TAMBO chap natoka nje nakutana na wabongo wanaongea kiswahili pale tukawakataa. Mana tayar nilikuwa na mentality kuwa wabongo wa kule wengi miyeyusho
Tunaenda kuchukua tax ili tuende Station pale tunaona polisi wanatuzuia tusichukue ile tax eti sio salama na badala yake wakatuelekeza tax nyingine.
Tumepanda ile tax rasmi ya airport ndio dereva akawa anatuambia hizo tax bubu wengi majambazi wanakuambia bei rahisi ili ukubali mkifika njiani anakuambia hela kubwa kama Huna anakutolea mguu wa kuku na kukupora ulichonacho na anakuacha njiani...
Nikajisemea kichwani hii Africa bado ni bara la giza yan mtu yupo tayar kukudhuru ili apate tu hela akanywe pombe na kustarehe na wanawake
The first time kumuona mzungu omba omba ni South aiseee nimekaa nakula msosi mixer kuku kwa rand 25 tu naona mzungu anakuja kachoka kama katoka mbagala kibonde maji
'Anasema can we share a plate my friend?
Doh.
Kwa Tz hiyo ni ngumu sana. Kwanza mabasi yote yanazidisha abiria. Basi la kupanda abiria 50, wao wanapakiza 100, wengine wamekaa wengine wamesimama mbanano.
Sasa hapo hauwezi kujua kuwa nani amelipa na nani hakulipa
Hakuna tukio abalo haliyepukiki mbele ya serikali iliyomakini yenye intelejesia kali huo ni uzembe tu wa watawala waafrica?Hii sio shida mkuu, bali ni uhalifu ambao kila nchi upo. Wewe hausikii watu wanaotekwa, au kuuwawa kila siku TZ?
Kuna mambo ambayo hayaepukiki hata ukiwa kwenu utakumbana nayo tu. Kikubwa ni kumuomba Mungu akuepushe na shari za dunia na matatizo ya hapa na pale hata ukiwa unaishi nchi kwako.
Huyo hapo pichani. Amezaliwa hapa, amekulia hapa na kila mtu alikuwa anajua kama ni raia wa hapa. Alianza kujiingiza katika mashindano ya urembo na kushinda mataji kadhaa huko nyuma.Hyo imenipita mkuu hata sijui...
🤣🤣🤣Ok...sio mitaa ya arcadia, hatfield mamelodi au sunnyside 🤣🤣🤣🤣
Yap hiyo nchi ingetakiwa ipate rais kama yule jamaa wa philippine Rodrigo DuterteHao wameendekezwa, inapaswa kitengenezwe kikosi kazi, ukikamatwa muhalifu ni shaba za kutosha zinakuhusu.
Ni ngozi nyeupe sema wana spirit ya watu weusi. I mean ngozi ya kizungu kwa sababu ni weupe, akili ya kizungu kwa sababu wanaona mbali na wanaongoza kiuchumi na kielimu, ila mioyo ndio imekaa kiafrika afrika sababu wanazaliwa, wanakulia na kufia Afrika mababu na mababu.Kuna mkaburu mmoja namfahamu anapikaga ugali, wazungu wa SA ni ngozi nyeusi wale.
Yule mphilipino noma 🤣🤣🤣Yap hiyo nchi ingetakiwa ipate rais kama yule jamaa wa philippine Rodrigo Duterte
Jamaa aliua sana wahalifu nchini kwake hadi US wakaingilia kati na ishu zao za haki za binadamuYule mphilipino noma 🤣🤣🤣
Kabisa mkuu.Yap hiyo nchi ingetakiwa ipate rais kama yule jamaa wa philippine Rodrigo Duterte
Hahaha nakumbuka. Ila haya mambo sijui ya haki za binadam na ujinga ujinga mungine sometimes huwa yanachangia nchi ina poromoka na kushindwa kudhibitika.Jamaa aliua sana wahalifu nchini kwake hadi US wakaingilia kati na ishu zao za haki za binadamu