Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Wee bwana wee...nasikia huko totoz za ki xhosa ni mseleleko tuu mwendo wa kudinyana sana. Ni kweli hayo mzeya?
Aliekwambia hajakosea. Na sio wa xhosa na wazulu tu, bali wa south wote ni mteremko. Ukigusa tu unakula. Ila sasa uwe makini na wake za watu. Otherwise tutarudisha jeneza nyumbani au nguo zako na picha tu 🤣🤣🤣.
Ticket ya ndege kuja huko bei gani mwanawane nataka nije nionje ladha ya wa xhosa na zulus.
Ticket ya ndege au basi kwa sasa sijajua inasimamia bei gani maana kitambo sijatoka kuja bongo.
Wele coloureds nao vipi? Watamu?
Hao ndo balaa, kama unakula mtoto wa kimanga vile, ila ukim cheat akijua umekwisha 🤣🤣🤣
 
Sawa mwanawane...ngoja nijipamge nije nigonge kizulu huko. Unjani wena, mfwetu, hambani ghaxhe. Nyakutanda wena..🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu kwani kwa kiswahili chako neno kazi linamaana gani?
Unaposema South Africa hakuna kazi kwa foreigners huku ukikiri tena mwenyewe kuwa wazimbabwe (ambao ni foreigners) wana kazi za hovyo unamaanisha nini?

Je kama hizo kazi wanazofanya wazimbabwe zingekuwa za hovyo kama unavyojaribu kuaminisha watu, unafikiri wazawa wangeingia barabarani kuanzisha fujo na kudai kuwa wageni hasa wazimbabwe wanachukua kazi zao? Kuna vitu ambavyo ndugu zangu wabongo wengi hawavifahamu kuhusu hii country na mmoja wao ni wewe.

Let me tell you something that you don't know about it. Mwaka 2009 hadi 2015, nilikuwa nafanya kazi katika restaurant moja maarufu hapa SA inaitwa Spur, ipo ndani ya RandPark Ridge mbele ya Cresta jijini Johannesburg. Yani 98% ya wafanya kazi wa pale walikuwa wazimbabwe, huku mbongo nikiwa peke yangu na wazawa wa3. Waiters tulikuwa tunakunja R6500 ya kipindi kile kila mwezi, na keep change ambayo tulikuwa tunaachiwa na wazungu ndo ilikuwa kufuru. Mtu ulikuwa unaondoka na R400 au 500 kila siku, na weekends unaondoka mpaka na R800.

Wazimbabwe wengi walijenga kwao, walinunua mifugo, magari nk. Hata mimi pale ndo nilipopatia akili ya kununua kiwanja changu cha kwanza bongo na kuanza kujenga nyumba yangu ya kwanza. Mwaka 2015, nikarudi bongo kuweka mambo sawa, ila nilichelewa kurudi hivyo nafasi yangu kuchukuliwa na mtu mungine.

Sasa unaweza kuangalia mwenyewe kima cha mshahara wa R6500 plus R300 au 400 ya kila siku, kama una akili ya kuweka ukizijumlisha kwa mwezi unakuwa na bei gani? Ni Wa South wangapi ambao wanaweza kupata kima hicho cha pesa kila mwisho wa mwezi. Kuna msemo wa kiswahili unaosema kuwa usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Hizi kazi watu wengi au naweza kusema wote kutoka East Africa hawazijui ndo maana wewe unaita eti kazi za hovyo. Maana hata mimi nilitafutiwa kazi hiyo na demu wangu wa kishona (mzimbabwe) ambae alikuwa ni manager pale Spur.

Hiyo ni moja kati ya kazi nyingi zinazowapa maisha wazimbabwe. Na sasa wamegeukia kwenye Uber, Bolt nk, huku wabongo tukiendelea kusimama kwenye kona za barabara kuuza vikete viwili vitatu vya bangi na hapo hapo wazee wapite uwaungie na kubaki na ela ya kula. Maisha hayo mtu utaishi mpaka lini?
 
Umefafanua vizuri. Huku kila mtu ameshatoboka roho. Usije kufikiri roho aliyokuwa nayo ndugu yako wakati yupo bongo ndo ile ile aliyonayo huku. Wengi hubadilika roho kutokana na mazingira ya maisha plus stress za kila siku.

So anaetaka kuja ajipange vizuri kabla hayajamkuta makubwa kushinda umri wake.
 
Na kweli watu wangerudisha picha tu au maiti nyumbani. Kama kina AKA wameuwawa wakiwa na walinzi wao pembeni. Je wewe ambae ni mtupu hali ingekuaje 🤣🤣
 
Ushauri mzuri mkuu 👍
 
Abiria wote ni makondakta unampa jirani yako nauli na unachukua chenji yako kama ipo, wa mwisho ambaye amekaa karibu ya dereva anamkabidhi dereva pesa kamili na ikipungua ni juu yako kufidia, vinginevyo utasurubiwa na dereva.
Ufafanuzi mzuri mkuu 👍
 
Kuna siku nilikaa mbele kwenye taxi nashangaa wananipa hela nikaona biashara gani hizi tena wananidai na chenji aise sitokaa tena mbele ujinga mtupu yani nikageuzwa kondakta ,na dereva hapokei hadi hela yote itimie
 
Kuna kijana mmoja alikuwa anaitwa Shibekijinini. Alikujaga huko bondeni. Sijui alileta usela ma. vi........akapotea
 
Kuna siku nilikaa mbele kwenye taxi nashangaa wananipa hela nikaona biashara gani hizi tena wananidai na chenji aise sitokaa tena mbele ujinga mtupu yani nikageuzwa kondakta ,na dereva hapokei hadi hela yote itimie
Ukikaa mbele uwe mzoefu, uwe unajua hesabu na pia uwe na hela nyingine mfukoni ili zisipoenea kama haujui kuuliza kwa kizulu, ki xhosa, ki sotho nk basi ujazie mwenyewe kimya kimya na kumkabidhi dereva zikiwa zimeenea.

Otherwise maji utaita mma na baba utaita papa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…