Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty rand
Dah nilishtuka ila nikawaza fasta nikawatolea Ile twenty wakaondoka
Kule kupigana telo mchana kawaida
Na hii huwa wanaangalia mwonekano wa mhusika. Wakinusa una hela na wanona utaleta utata, bakubeka ku-radar bese uyabulawa.
 
Ni kweli nimekuelewa mkuu.
 
English ni lugha rahisi kuijua. Mimi kiukweli hizi lugha za kiafrika zimenishinda kabisa kuziweza... kibemba, Nyanja na Lingala nimeanza kujifunza muda ila kuongea kiusahihi bado sana.
 
Temana na huyo jomba huwa ana ubishi wa kipuuzi sana.
 
Watu wengi huuwawa kwa sababu ya kugoma kutoa ushirikiano. Juzikati kuna mpopo fulani alikuwa anatoka kwake nafikiri kuelekea katika mizunguko yake.

Sasa ile anafungua gate atoke jamaa watatu wakamsogelea vizuri tu na kumuomba sim ili waondoke. Mpopo alipoona anaombwa sim akaleta mgomo. Jamaa wakataka watumie nguvu kuichukua. Yule mpopo kwa vile tayari alikuwa ashafunga gate, basi akairusha ile sim kwa ndani ili jamaa wasipate kitu.

Aisee kitendo kile walikichukulia kama dharau, wawili kati yao wakatoa bastola kila mmoja ya kwake. Basi wakawa wanapokezana. Mmoja kapiga ya paja, mungine akapiga kichwani, mungine tena kifuani, mungine akamalizia tumboni na kusepa zao kusikojulikana.
 
Kinyanja cha Zambia
Ok.. Sasa ulipoandika njanya nikaona bora nikuulize kama ulikuwa unamaanisha nyanja ya Zambia au ni lugha nyingine ya kiafrika.

Ila ukijua kuongea kichewa cha Malawi, basi asilimia kubwa ya maneno ya kinyanja utayajua na kuyasikia. Kichewa na kinyanja ni kama kiswahili cha Zanzibar na cha bara. Au cha Kenya na Tanzania.
 
Mungu mwema nilifika cape saa kumi jioni kesho saa Moja asubuhi nikaanza kazi JM mall customer assistant na kiingereza sijui wazungu walikuwa wanarudia nachowaambia mf go zea ' utasikia aah go zea !? In turn ikawa ndio lucky point kwangu ikawa kama nembo yangu
 
Mkuuu m ushirikiano muhimuu sana kwangu hasa usikuuu asinivuee nguo tu
 
Itakuwa ulikuwa na host.
Kuna ile hata wa kukupokea huna.
 
Kuzishika hizo lugha lazima uwe hujui kiingereza wala kiswahili. Waburundi ndo huwa ni ma-master wa kujua lugha za watu. Wenyewe wanasema french ni lugha ya kimaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…