Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Dawa yenu ni wanawake kukataa kuzaa kabla ya ndoa, anayetaka watoto aoe simple tu, hili nalo tutalianzishia kampeni soon "mwanamke kamwe usikubali kuzaa kabla ya ndoa"
Labda huwafamu vizuri wanawake wa kibongo eti wakatae kuzaa hawana hiyo jeuri
 
Daa!!! hivi kumbe kuitwa single mother ni tusi?
 


Hakuna upumbavu ambao sitakuja kufanya kama kurudi mapema nyumbani.

Kuanzia baba mzazi, kaka zangu na wanaume wote wa mazingira niliyokulia sikuwahi kuona wanarudia mapema kisa shinikizo la mwanamke.

Mwanaume anarudi nyumbani pale anapoona ni muda mwafaka kwake kurudi nyumbani.

Kwangu halafu nipangiwe muda wa kurudi??? PUMBAVUUU!!!
 
Kipindi taasisi hii ya ndoa inaheshimika tulikuwa tukishuhudia watoto katika familia wakiwazika wazazi wao katika uzee wao kwa kiwango cha asilimia 98 wazee na asilimia 2 vijana.
Sasa hivi baada ya taasisi hi hii ya ndoa kuchukuliwa poa na vijana kutafuta raha ya ndoa kwa kurukaruka kwa kila msichana ajipitishae mambo yamegeuka.
Sasa wazazi( wazee katika ndoa) ndio wanawazika vijana wao kwa asilimia 90vijana na asilimia 10wazee.
Ndoa ni uzio unaokinga na kulinda familia kiakili, kiafya na kiroho.
Huna ndoa halafu ni kitombi, ukitoboa 55 yrs katoe sadaka ya kushukuru.
 

Mkuu kama babako alikuwa anashinikizwa kurudi nyumbani mapema, na akichelwa anagombezwa basi babako alikuwa/ni zwazwa.

Yaani mwanaume unarudi nyumbani mapema muda mke ndo yuko anapika Ili iweje? Mke aanze kukutuma "niletee hilo sahani. Nisogezee hiyo ndoo"

Huo si ni utahira
 
Mzee wangu naye alikuwa kama wewe hivyo hivyo, bahati nzuri hakuna aliyewahi kumuuliza wala kumshauri chochote si mama wala sisi watoto wake, cha ajabu sasa hivi analalamika eti mkewe na watoto tumemtenga ndicho anachonishangaza


Na baba yangu mzazi nae alikuwa hivyo, na sasa ni mzee sana. Wanae tunakoenda sana yeye na mke wake (mama yetu) na kuwatunza sana.


Hivyo inaonekana kwenu kuanzia wewe na mama yenu wote MAJANGA, na atakaeoa kwenu/alieoa kwenu KAZI anayo.
 
Na baba yangu mzazi nae alikuwa hivyo, na sasa ni mzee sana. Wanae tunakoenda sana yeye na mke wake (mama yetu) na kuwatunza sana.


Hivyo inaonekana kwenu kuanzia wewe na mama yenu wote MAJANGA, na atakaeoa kwenu/alieoa kwenu KAZI anayo.
Mtoto wa kike huyo hawezi kuelewa na tusimlaumu sana naona wanamkomoa mzee wao,hawajui sababu kwa nini mzee wao alikuwa anachelewa kurudi. Hapo unaweza ukakuta wanakula vizuri,wanavaa vizuri na mahitaji yote ya msingi wana yapata,sijui hawajiulizi haya mahitaji yalikuwa yanatoka wapi na ni nguvu ya nani.

Sasa uoe mwanamke kama huyo ambaye hamthamini baba yake aliye mtimizia mahitaji yake ya msingi yaani damu yake then ndioo utegemee aje kukuthamini ww. Vifua vya wanaume vimebeba mengi sana na ndio maana Mungu katupa makoromeo.

Hawajui sisi wanaume tuna sacrifice vitu vingi sana ili mradi familia ipate mahitaji yake ya msingi.
 
Mtoa mada sijakuelewa unachoogopa ni kipi haswa kwenye ndoa.

1.Kuchapiwa mke ?

2.Mkeo kutumia Mali zako? Sasa na Baadae , ukifa.

3. Uchumi wako mdogo kuhudumia kama wajibu na haki ya wategemezi ?

4. Magonjwa ya ngono ?...

5. Mkiachana mtagawana Mali na huyo mke ?

Em funguka Kaka maana mpaka Sasa nna hints tatu
:Ww ni mtu mzima wa 40+ (nahisi)
: Una stress na shinikizo juu ya ndoa kutoka kwa jamii na familia.


Swali la Uzushi.
Je ww ni mtoto wa nje ya ndoa, kwa mama ako ?
 
Mzee wangu naye alikuwa kama wewe hivyo hivyo, bahati nzuri hakuna aliyewahi kumuuliza wala kumshauri chochote si mama wala sisi watoto wake, cha ajabu sasa hivi analalamika eti mkewe na watoto tumemtenga ndicho anachonishangaza
Kwa hiyo mna mnyoosha mzee wenu daah.Yaani baba yako aliye kuleta duniani na kukupatia mahitaji yote ya msingi unamfanyia hivyo je huyo mume wako utamfanyiaje. Unajua sababu ya kwa nini alikuwa anachelewa kurudi?.

Daah hizi ndizo type zenyewe zilizopo....... kweli kazi tunayo.(ukiingia tu umeyakanyaga kama Shabani Kaoneka).

Huyo mzee wako na muonea huruma nahisi Sonona inaweza chukua hata uhai wake..........ila kama ni kweli mnamfanyia hivyo na yeye inamuumiza kaeni mkijua hamtabaki salama.
 
Hii nyuzi
 
Mkuu kanali kama umeona shida imeanzia kanisani Sasa makasiriko ya nn kwa waliooa. Acha kuji-attach na hizo ethics za kikanisa we oa hata mara kama ukimshindwa mtoto wa watu unadisha kwao. Kuoa ni heshima .

Nimekuuliza kabla, je ww ni mtoto wa nje ya ndoa yaani zao la zinaa ? Naona una-skip swali tu.
 
Mkuu kwnn ufikirie kuachana na mkeo ? Hujaoa af ushafika kwenye kuachana ? Hofu ni nini haswa , amini mkuu kanuni ni hiyo hiyo utapata wa kufanana nae. Badala ya kushauri vijana wasioe, badili ushauri maana huo ni kwa wazinzi wezio .... UTAPATA WA KUFANANA NAE. Malaya hapati Gentle, na kama unahisi Kuna Gentle aliyepata Malaya huyo sio Gentle.
 
Mzee wangu naye alikuwa kama wewe hivyo hivyo, bahati nzuri hakuna aliyewahi kumuuliza wala kumshauri chochote si mama wala sisi watoto wake, cha ajabu sasa hivi analalamika eti mkewe na watoto tumemtenga ndicho anachonishangaza
Dah! [emoji23][emoji23][emoji23]sista unajua hapo ndio umechochea moto kabisa nasio kuuzima. Kweli hata nyie wenyewe hamjui mwanaume huangalia vitu gani mpaka aoe. Anyway mimi kuoa sitaacha hata kidogo, ila aisee mnajifungaga wenyewe sana. Hamjui kutetea hoja zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahari inatolewa kama shukran kwa wazazi kwamba binti amejitunza ( bikra)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…