Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Ukitoa huduma za uchumi ni kipi mwanaume anaweza mpa mwanamke ???? Hilo swali ungewaulizwa wanawake wanaoenda kwa mwamposa kuombewa wapate mabwana, nafikiri ungepata majibu vizuri.
 
Umejuaje yesu hakuwahi kula mbususu ,wakati biblia imekiri yenyewe mambo mengi aliyofanya yesu yasingetosha kuandikwa kwenye injili.
 
Dawa yenu ni wanawake kukataa kuzaa kabla ya ndoa, anayetaka watoto aoe simple tu, hili nalo tutalianzishia kampeni soon "mwanamke kamwe usikubali kuzaa kabla ya ndoa"
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe , watakusapoti kumbe nyuma ya pazia wanamtaka bwana wako amzalie mapacha , Joyce kiria mbona kawakimbia
 
Kuna wanawake wanatuzalia watoto, wakiwa kwenye ndoa zao na hilo nalo ukalitazame.
 
Bond ya baba mama na mtoto inaweza kuwepo bila cheti cha ndoa ,kijana kataa ndoa.
 
Hata unacho kiongea hukielewi unapingana na hata ulicho kiandika mwenyewe.

Sawa mwache baba yako avune anachopanda halafu uone kama utabaki salama ww na ndugu zako.

Ndio type hizi za SIJALI nazo zinalilia ndoa.
 
Kwa hiyo tukisema baba yako hana radhi na wew , tutakuwa tumekosea ?
 
Sasa si wanaenda kwa sababu hiyo ya huduma za kiuchumi, acha siasa tupe jibu ukitoa pesa ni kipi kingine mwanaume anaoffer kwa mwanamke, ili tuone umuhimu wenu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ukitoa maswala ya uchumi ni kipi kingne utafanya apa duniani na kwa sababu zipi?
 
Mumeo namuonea huruma sana kukuoa wew
 
"mara nyingi alikuwa anachelewa bila sababu, "

Yaani unataka kila siku baba yako atakayo Chelewa akupe wewe sababu?

Kwa akili yako unaona unamkomoa baba yako,ila narudia hamtabaki salama.
 
Mkuu ungetakiwa uwashauri wenzako mimi nina millions of sperms ili kuendeleza kizazi , mwenye maamuzi ya kupata mimba ni mwanamke
 
Ili ktu kiitwe mahari lazima mwali awepo , unafahamu maana ya mwali lakini?
 
Mwanaume huwa anaangalia vitu gani ili aoe hebu nisaidie hapo mkuu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Hunahaja yakuvijua sista maana sio wewe unaeoa. Ila msipende kujifunga😂😂😂. Last but not least, jua mwanaume usijaribu kumfundisha maisha sijui kujenga bond na any other thing kwakuwa vitaflow vyenyewe kutokana na kusudio la Mungu. Nakwambia kwahakika mwanaume anafika kipindi anasahau wazazi wake sio kwasababu hawapendi bali anabidi aihudumie familia aliyoitengeneza. Anatough calls na decisions ambazo huweza kumfanya aonekane mbaya ila tunayopotia anayajua Mungu mwenyewe. Sitakaa nimjudge mzazi wangu eti sikujenga bond naye😂😂😂, nidaktari lakini najua vitu vingine nitheories na tunajaribu kuviweka practical in these days sijui kwanini. Mzee wangu alikuwa mkali na anarudi jioni kila siku but guess leo nimekuwa, yeye ndiye mshauri wangu mkuu. Sitamsahau mzazi wangu hata mmoja maana majukumu yake aliyatimiza. Anything extra, let it be extra, never exaggerate. Ila wewe ni mtoto wakike sirahisi kuelewa hili. You form a bond with your boss na coworkers ukiwa mtu mzima sembuse mzazi😂😂😂. Sipati picha kama mambo ya therapy yangekuwa bure TZ, mapsychologist wangetajirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…