Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Hivi kwani siku hizi majukumu ya mwanamke kwenye ndoa hayaonekani au

Yani wewe mke akupikie, akufulie, akulee, akuzalie na akulelee watoto wako, akupe unyumba na vingine vingi halafu bado uone hastahili mali zako sasa unataka umpe kitu gani

Hizo mahari mnazotoa anachukua mke au wanachukua wazazi/walezi wake na umeshajiuliza ni kwanini kwenye jamii zetu mwanamke anatolewa mahari

Yani ukitoa huduma ya kiuchumi kuna kipi kingine mwanaume anachoweza kumpa mwanamke, maana mkae mkijua hizi kampeni zenu za kataa ndoa kisa kukimbia majukumu yenu hamuwakomoi wanawake, bali mnazidi kufanya wanawake wasione umuhimu wenu na hili limeshaanza hivi sasa kwa baadhi ya wanawake

Hayo mapungufu ya kibinadamu kwenye ndoa huwa yapo tu, hata wanaume mna mapungufu yenu ila ni vile ya kwenu mnayaona madogo hivyo mnalazimisha yavumiliwe, ila ya wanawake mnayaona makubwa hivyo mnaona hawastahili kuvumiliwa
Ukitoa huduma za uchumi ni kipi mwanaume anaweza mpa mwanamke ???? Hilo swali ungewaulizwa wanawake wanaoenda kwa mwamposa kuombewa wapate mabwana, nafikiri ungepata majibu vizuri.
 
Yesu hakuoa lakini pia hakuwahi kuzini wala kuwa na mwanamke wewe umeweza hilo

Hata Mtume Paulo alisema kama unajiona utaweza kuishi bila kuzini maisha yako yote basi si lazima kuoa ila kama unajijia hauwezi basi oa

Msijifanye wajuaji na kutaka kupotosha tena huko kwenye maandiko ndio msiende kabisa maana mtajikanyaga
Umejuaje yesu hakuwahi kula mbususu ,wakati biblia imekiri yenyewe mambo mengi aliyofanya yesu yasingetosha kuandikwa kwenye injili.
 
Dawa yenu ni wanawake kukataa kuzaa kabla ya ndoa, anayetaka watoto aoe simple tu, hili nalo tutalianzishia kampeni soon "mwanamke kamwe usikubali kuzaa kabla ya ndoa"
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe , watakusapoti kumbe nyuma ya pazia wanamtaka bwana wako amzalie mapacha , Joyce kiria mbona kawakimbia
 
Subirini tu wakiona hawaolewi na wanazidi kutukanwa na kuitwa single mothers akili zitajireset zenyewe na kujua hapa kinatakiwa nini

Na mwanamke anayekubali kuzaa kabla ya ndoa ni mpumbavu hivyo nashangaa mwanaume anakosaje utu kiasi cha kutaka watoto wake wazaliwe na mama mpumbavu

Anyway tutafika tu
Kuna wanawake wanatuzalia watoto, wakiwa kwenye ndoa zao na hilo nalo ukalitazame.
 
Acha siasa wewe nani asiyejua umuhimu wa baba, kwa taarifa yako tunamtumia pesa vizuri lakini hakuna anayekwenda kumtembelea na kukaa naye kuongea naye ila bado analalamika, na yote hiyo ni sababu yake yeye mwenyewe aliyeshindwa kutengeneza ile bond kati ya baba na watoto

Sawa tunajua ulikuwa unatafuta na unahudumia ila ndio uchelewe nyumbani KILA SIKU na kukosa hata muda wa kukaa na familia yako, acheni visingizio asee na nimegundua wala siyo kwamba wanaume wote wanaochelewa kurudi siku zote wanakuwa busy ila wengine ni wachepukaji na walevi au wengine ni type ya huyo ninayebishana naye, yeye anakuambia kuchelewa kwake si kwa sababu tu ya ubusy bali ni kwa sababu yeye ni mwanaume na hapo ni kwake hivyo ni lazima tu achelewe hata bila sababu sasa mke na watoto wakishajua wana mume au baba wa aina hiyo unategemea nini

Siku zote mtu huvuna alichopanda acheni kulazimisha watu wavumilie ujinga bila sababu na kuwabebesha lawama eti kwanini walishindwa kuvumilia ujinga wenu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Bond ya baba mama na mtoto inaweza kuwepo bila cheti cha ndoa ,kijana kataa ndoa.
 
Hata unacho kiongea hukielewi unapingana na hata ulicho kiandika mwenyewe.

Sawa mwache baba yako avune anachopanda halafu uone kama utabaki salama ww na ndugu zako.

Ndio type hizi za SIJALI nazo zinalilia ndoa.
 
Wala hatumnyooshi mkuu yeye mwenyewe ndio amekuja kuelewa uzeeni kwanini tunafanya hivyo na anajutia, na wala si kwamba eti mama yetu ndio alitulisha sumu bali sisi watoto tulikuwa tunajionea wenyewe kwamba baba anatafuta na ndiye anayetuhudumia lakini hakuwa na muda na sisi na mara nyingi alikuwa anachelewa bila sababu, kwahiyo kilichobaki na sisi tunamtumia tu pesa kama alivyokuwa anafanya yeye

Lakini hakuna ile bond kati ya baba na watoto, kwamba tunaweza kuenda kumtembelea mara kwa mara na kukaa naye kuongea naye, na hatuwezi kujilazimisha sababu yeye ndiye alishindwa kuitengeneza hiyo bond

Ndio maana nasema wanaume jifunzeni kutenga muda mwingi wa kukaa na wake zenu na watoto wenu hao ndio mtabaki nao hadi uzeeni, hiyo michepuko mnayoihonga leo au hao washikaji mnaokesha nao baa leo wala hawatakuwepo na ninyi uzeeni, yani mtu unataka ujanani ule raha na wengine kisha uzeeni uje uwape shida wengine halafu uanze kumtupia lawama mkeo kuwa kawalisha sumu watoto bila kujua kwamba hao watoto nao wana akili na mambo mengine wanajionea

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tukisema baba yako hana radhi na wew , tutakuwa tumekosea ?
 
Sasa si wanaenda kwa sababu hiyo ya huduma za kiuchumi, acha siasa tupe jibu ukitoa pesa ni kipi kingine mwanaume anaoffer kwa mwanamke, ili tuone umuhimu wenu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ukitoa maswala ya uchumi ni kipi kingne utafanya apa duniani na kwa sababu zipi?
 
Wala hatumnyooshi mkuu yeye mwenyewe ndio amekuja kuelewa uzeeni kwanini tunafanya hivyo na anajutia, na wala si kwamba eti mama yetu ndio alitulisha sumu bali sisi watoto tulikuwa tunajionea wenyewe kwamba baba anatafuta na ndiye anayetuhudumia lakini hakuwa na muda na sisi na mara nyingi alikuwa anachelewa bila sababu, kwahiyo kilichobaki na sisi tunamtumia tu pesa kama alivyokuwa anafanya yeye

Lakini hakuna ile bond kati ya baba na watoto, kwamba tunaweza kuenda kumtembelea mara kwa mara na kukaa naye kuongea naye, na hatuwezi kujilazimisha sababu yeye ndiye alishindwa kuitengeneza hiyo bond

Ndio maana nasema wanaume jifunzeni kutenga muda mwingi wa kukaa na wake zenu na watoto wenu hao ndio mtabaki nao hadi uzeeni, hiyo michepuko mnayoihonga leo au hao washikaji mnaokesha nao baa leo wala hawatakuwepo na ninyi uzeeni, yani mtu unataka ujanani ule raha na wengine kisha uzeeni uje uwape shida wengine halafu uanze kumtupia lawama mkeo kuwa kawalisha sumu watoto bila kujua kwamba hao watoto nao wana akili na mambo mengine wanajionea

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Mumeo namuonea huruma sana kukuoa wew
 
"mara nyingi alikuwa anachelewa bila sababu, "

Yaani unataka kila siku baba yako atakayo Chelewa akupe wewe sababu?

Kwa akili yako unaona unamkomoa baba yako,ila narudia hamtabaki salama.
 
Si ndio hao wapumbavu ninaowasemea, mnaonishangaza ni ninyi wanaume mlivyokuwa wabinafsi kiasi cha kuwachagulia watoto wenu kina mama wapumbavu kiasi hicho, yani hapo ni wapumbavu wawili mnakuwa mmekutana tu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Mkuu ungetakiwa uwashauri wenzako mimi nina millions of sperms ili kuendeleza kizazi , mwenye maamuzi ya kupata mimba ni mwanamke
 
Hiyo ni mojawapo ya sababu lakini wala si sababu kubwa, mahari inatolewa kwa wazazi au walezi wa binti sababu wanamtoa mtoto wao anaenda kuendeleza ukoo mwingine anaenda kubadili jina na kutumia jina la mumewe na watoto wake pia vivyo hivyo, kwa kifupi mahari inatolewa toka familia ya mwanaume kwenda familia ya mwanamke kwa sababu familia ya mwanamke inakuwa imelose while familia ya mwanaume inakuwa imegain na si huo uongo mnaojaribu kutuaminisha hapa

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ili ktu kiitwe mahari lazima mwali awepo , unafahamu maana ya mwali lakini?
 
Mwanaume huwa anaangalia vitu gani ili aoe hebu nisaidie hapo mkuu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Hunahaja yakuvijua sista maana sio wewe unaeoa. Ila msipende kujifunga😂😂😂. Last but not least, jua mwanaume usijaribu kumfundisha maisha sijui kujenga bond na any other thing kwakuwa vitaflow vyenyewe kutokana na kusudio la Mungu. Nakwambia kwahakika mwanaume anafika kipindi anasahau wazazi wake sio kwasababu hawapendi bali anabidi aihudumie familia aliyoitengeneza. Anatough calls na decisions ambazo huweza kumfanya aonekane mbaya ila tunayopotia anayajua Mungu mwenyewe. Sitakaa nimjudge mzazi wangu eti sikujenga bond naye😂😂😂, nidaktari lakini najua vitu vingine nitheories na tunajaribu kuviweka practical in these days sijui kwanini. Mzee wangu alikuwa mkali na anarudi jioni kila siku but guess leo nimekuwa, yeye ndiye mshauri wangu mkuu. Sitamsahau mzazi wangu hata mmoja maana majukumu yake aliyatimiza. Anything extra, let it be extra, never exaggerate. Ila wewe ni mtoto wakike sirahisi kuelewa hili. You form a bond with your boss na coworkers ukiwa mtu mzima sembuse mzazi😂😂😂. Sipati picha kama mambo ya therapy yangekuwa bure TZ, mapsychologist wangetajirika sana.
 
Back
Top Bottom