Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Yeah mkuu kwani pesa si ndio kila kitu, kama ambavyo yeye alikuwa akitupa pesa tu ila mengine akamuachia mama, ubaya uko wapi hapo

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo ndipo umefunguka. Umeiona hiyo chuki uliyonayo kwamzazi wako, wewe hudhani imeishia kwake. Lahasha, that's a psychological problem ambayo utakuja kumuumizia sana mume wako kwakuwa you have unresolved daddy issues. Ndio maana uliona wachangiaji wakakwambia utakuja kuwa tatizo kwenye ndoa sema walitumia lugha ya dharau. Comments zako zote zimeakisi chuki juu ya baba yako naninyi wenyewe mnasema tuwapende kama mlivyo, hivyo mumewe atateseka sana juu ya hiyo chuki yako. Resolve the things with your father before he dies kwasababu ukweli nikuwa usiporesolve hiyo chuki utaihamishia kwamtu mwingine pindi mzee akifariki na great chance ni mme au watoto wako wa kiume. Ndio maana kila kitu utaona mwanaume nimbaya, believe me. Kama pesa nikila kitu kwanini hukuikubali na kwanini utake kurudia makosa au kumlipiza mzazi wako. Watu tunajifunza kwenye shida na makosa na kuwa a better version of the previous not the same or worse than the previous. Hili nitatizo kubwa sana kwa wadada.
 
Msimtenge baba, kuna mengi sana huenda hamyajui kati yenu, mama na baba yenu na hasa kati ya baba na mama yenu.

Sipendi sana kuandika personal issues ila nilipomuuguza baba yangu nilijifunza mengi, mengi sana. Mwanzo nilikuwa na notion ya baba kuwa kikwazo katika mambo mengi, ila alipokuwa karibu na mimi kwa zaidi ya miaka mitatu, nilijifunza mengi, hatukuwahi kukaa na kuongea kuhusu mama au maisha yao(baba yangu hakuwa talkative), ila kupitia hisia zangu nilijifunza mengi.

Msijiingize katika jambo lolote linalohusu wazazi, msiwabague wala kuwatenga. Ndoa ni jambo jema sana, ni taasisi kubwa inayoleta taifa imara, ila ina changamoto mob sana.
Ni kweli wanasema tunapata baraka tunapowatii wazazi wote wawili hawakusema tumtii aliekamili au mwenye mapungufu hata kama yalikuwa wazi au yalifichwa sio kazi yetu kuhukumu juu ya wazazi wetu
 
Walosema ujana ni nusu ya uwendawazimu hawakukosea tunayaona Sasa yaani Kuna watu wamepita kwenye nusu,
ujana wao umekuwa wendawazimu kamili
 
Kwamba mnaogopa makaratasi, ila mnataka "sogea tuishi"?

Kwa nini mnaingia kwenye ndoa na notion kwamba "tutaachana"?
Kusinge kuwa kuna kuachana ata ndoa kwa mujibu wa sheria zisingekuwepo , unafunga ndoa kuna kuwa na mashaidi , unasaini ili yakija kutokea mashaidi na zile saini zikubane .
 
Nilishaandikaga sana hapo nyuma namna mwanaume anaweza kupata mke mwema. The only way katika hii corrupted world, ukapata mke mwema ni kwa Mungu pekee. Na nikasema kabisa ili upate mke mwema lazima kwanza ukubali kusubmit under God's authority.

Mungu ndo atoaye jicho la ndani ili uweze kutambua nani ni mke. Katika maandiko ya imani yangu, neno linasema mke mwema ana thamani zaidi ya Ruby(Mith 31:10). Ikiwa wanaochimba madini wanafanya either ushirikina au kuomba Mungu (kama wapo) ili kupata madini na they mean business je si zaid mke mwema? Maana kama ana thamani kuzidi ruby, it means mke mwema ni very expensive.

Watu wanafunga biashara na kutenga siku kabisa ili fedha waikamate je si zaid mke mwema? Kumpata mke mwema ni nzuri zaidi kama utatafuta msaada wa kiroho ili umjue vizuri. Maana kuna makucha mwanamke anaweza kuyaficha ili ayaonyeshe baadae lakin Mungu aonae sirin lazima atakufunulia ikiwa umekaa nae vizuri. So ni lazima mwanaume asubmit under full authority of his Master ambae ni Bwana Mungu, ili apate kilicho chema.

Kuna ambao huwa wanaenda kwa waganga ili kujua kama mwanamke wa kuoa ndo huyu au siye. Sasa baadhi ya wanaume hawatafuti msaada kwa Mungu au basi upande wa pili watamjuaje mke mwema? Ndoa nzuri ni kipengele mno hasa nyakati hizi za mwisho. Bila msaada wa kiroho mambo hayataenda.

Wengne wataobject na kusema unaweza uonyeshwe na bado akaja kubadilika ni kweli. Lakin hata biashara, au fedha si ingeweza kuisha. Kama hauko tayari for the risks then dont marry or get married. Ndoa is for the strong. Only the strong shall win. Kila mtu apambane na chaguo lake.
Ni kweli dada wote waliodumu kwenye ndoa wamepata masaada wa kiroho au ndoa zote zilizodumu zimepatikana KWA kuomba MUNGU?
 
Hiyo hiyo sex kwenu mmeifanya ya muhimu na hamuwezi kuishi bila hiyo ndio maana wanawake bado wataendelea kuwa wa muhimu kwenu siku zote

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Nani kasema nyie sio wa muhimu ? Kama tu kitu kidgo kama nyusi kina umuhimu kwa nini nyie msiwe na umuhimu sasa.
 
Wasiooa Wana stress na valentine nn mbona nyuz zimekuwa nyingi watu wako busy kutafutia wake zao na wakezao watarajiwa zawadi [emoji3]wakaenjoy mbona mna makasiriko sana [emoji23]
Alafu valentine ni sikuku ya wapendanao , wapendanao wanaweza kuwa baba mama , watoto au ata ndugu na jamaa na marafiki , acha kujipa umuhimu hivyo.
 
Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!

Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-

1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)

2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.

3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)

Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.

Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)

Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?

Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?

#KATAANDOA
Kwa kweli ni kazi ngumuuu na bado akununie tuu bila sababu kisa kapewa ice cream na beach boy .... Kuna mwanamke wa ndoa na slay qeen , huwa tunachanganya hv vtu , ukipata mwanamke anaekupenda Hz changamoto zinakuwa chache Sana
 
Sasa hapo ndipo umefunguka. Umeiona hiyo chuki uliyonayo kwamzazi wako, wewe hudhani imeishia kwake. Lahasha, that's a psychological problem ambayo utakuja kumuumizia sana mume wako kwakuwa you have unresolved daddy issues. Ndio maana uliona wachangiaji wakakwambia utakuja kuwa tatizo kwenye ndoa sema walitumia lugha ya dharau. Comments zako zote zimeakisi chuki juu ya baba yako naninyi wenyewe mnasema tuwapende kama mlivyo, hivyo mumewe atateseka sana juu ya hiyo chuki yako. Resolve the things with your father before he dies kwasababu ukweli nikuwa usiporesolve hiyo chuki utaihamishia kwamtu mwingine pindi mzee akifariki na great chance ni mme au watoto wako wa kiume. Ndio maana kila kitu utaona mwanaume nimbaya, believe me. Kama pesa nikila kitu kwanini hukuikubali na kwanini utake kurudia makosa au kumlipiza mzazi wako. Watu tunajifunza kwenye shida na makosa na kuwa a better version of the previous not the same or worse than the previous. Hili nitatizo kubwa sana kwa wadada.
Hayupo sawa huyo kichwani japo yeye mwenyewe anajiina yupo sawa ila hajijui halafu kichwa ngumu,ukisoma comment zake paka unashanga unaweza sema labda amejizaa.

Wewe muache kwani dunia ni yake maisha ni yake.
 
Just get ovet it mkuu, narudia tunampenda na tunamheshimu vizuri tu na ndio maana mambo yetu yanatunyookea, mengine acha karma ifanye kazi yake wewe bisha lakini huku ukijitafakari kwamba kuishi kihuni na kimalaya wakati umeoa siyo sifa

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ni swala mda endelea kujitoa ufahamu.
 
Sema watoto wa nje ya ndoa mnaukosefu wa maadili sana. Hivi kuna mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa yenye baraka atachukia kuwa na ndoa?
Tatizo lenu ndo hili, hamuwezi kujenga hoja. Kashfa na matusi ni kielelezo cha stress za ndoa zenu.
 
Back
Top Bottom