Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Kondoo mkubwa dume anaenda mpka sh ngapi rafiki yangu...
 
duuh, ama kweli hakuna pesa rahisi duniani...kila jambo linachangamoto zake..c mchezo, mkuu next week nlitaka nije huko na mimi kuchora mazingira kwa ujumla wake...unadhani ni vyema kufanya hivyo kwa sasa au bora nisubiri tu mpk huo mwezi wa Dec...?
 
informartion nzuri sana,ila hawa middle men ukikaa vibaya wanapiga sana cha juu,ni bora ununue mbuzi ni cut hawa middle men ,niwe end
consumer mm mwenyewe.nikimaanisha nitafute eneo kama bar ivi then nyama choma iuzwe nadhani itasaidia sana na faida itaonekana
 
duuh, ama kweli hakuna pesa rahisi duniani...kila jambo linachangamoto zake..c mchezo, mkuu next week nlitaka nije huko na mimi kuchora mazingira kwa ujumla wake...unadhani ni vyema kufanya hivyo kwa sasa au bora nisubiri tu mpk huo mwezi wa Dec...?
Jilipue tu!au kama vipi njoo PM

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Shukrani sana ngoja tujipange tusubiri pesa za mbaazi ziishe.
 
HONGERA SANA NA UMENIFUNGUA KWA KWELI KWENYE BIASHARA YAANI KUMBE TUNAKAA TU KUNA BIASHARA ZINGINE KAMA HIZI
Njoo twende Mimi nimevaa roho ya utafutaji si ngono ata gharama ya malazi tutashare chumba kimoja kama wakongo(mfanyabiashara mwanamke na mwanaume wakongo wanaweza kushare room moja ugenini ili kubana matumizi)

NO NGONO WATU WANAWAZA PESA TU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…