Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mdau, unaweza kuanza na mtaji kiasi gani kwa makadirio?Ntaleta mrejesho Leo tena maana naelekea Busi huko Jana nilikosa mzigo!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kondoo mkubwa dume anaenda mpka sh ngapi rafiki yangu...Mimi hapa...Niko nimeanza
Naomba na wengine wasome hapa kama hawatojali..kwa sasa mbuzi wako juu sana,ni high season wakulima wana pesa za mbaazi na dengu wanaringa hawauzii njaa..mbuzi mpk 150k kwa mbuzi mmoja na kondoo pia bei ndo ziko hvyoo....Mimi nilikua na kiasi nkaongezewa ila mpk mda huu nazunguka minadani bado sijafanya kutafura unafuu maana hakuna mbuzi wa 50k may be vile vidogo Sanaa..
Wanaofanya kwa sasa ni wazoefu tu wa business wanalinda mitaji yao na wao kwa kua wengi wanajua biashara at least wanapata faida japo kidogo sana na advantage kubwa wao huku wengi wana mini yao hvyo hawagharamii malazi plus msosi...kwa mgeni kama sisi ukiingia kichwa kichwa itakula kwako uanze laumu watu...Mimi toka Alhamis nazunguka na pesa yangu naogopa nisije nkachoma bure na kutafuta mchawi..
Msimu mzuri wa kuanza hii biashara kwa huku Kondoa ni December may be utafute chimbo lingine ila kwa huku nimeogopa..December to April mbuzi mkubwa kabisaa unampata mpk elf 60 ambae kwa sasa wanauzwa laki na 50!!!
Kaka jebel alieleza vzr kule juu namimi nakazia umakini msiseme hamjaambiwa!!
Ahsanteni
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
duuh, ama kweli hakuna pesa rahisi duniani...kila jambo linachangamoto zake..c mchezo, mkuu next week nlitaka nije huko na mimi kuchora mazingira kwa ujumla wake...unadhani ni vyema kufanya hivyo kwa sasa au bora nisubiri tu mpk huo mwezi wa Dec...?Mimi hapa...Niko nimeanza
Naomba na wengine wasome hapa kama hawatojali..kwa sasa mbuzi wako juu sana,ni high season wakulima wana pesa za mbaazi na dengu wanaringa hawauzii njaa..mbuzi mpk 150k kwa mbuzi mmoja na kondoo pia bei ndo ziko hvyoo....Mimi nilikua na kiasi nkaongezewa ila mpk mda huu nazunguka minadani bado sijafanya kutafura unafuu maana hakuna mbuzi wa 50k may be vile vidogo Sanaa..
Wanaofanya kwa sasa ni wazoefu tu wa business wanalinda mitaji yao na wao kwa kua wengi wanajua biashara at least wanapata faida japo kidogo sana na advantage kubwa wao huku wengi wana mini yao hvyo hawagharamii malazi plus msosi...kwa mgeni kama sisi ukiingia kichwa kichwa itakula kwako uanze laumu watu...Mimi toka Alhamis nazunguka na pesa yangu naogopa nisije nkachoma bure na kutafuta mchawi..
Msimu mzuri wa kuanza hii biashara kwa huku Kondoa ni December may be utafute chimbo lingine ila kwa huku nimeogopa..December to April mbuzi mkubwa kabisaa unampata mpk elf 60 ambae kwa sasa wanauzwa laki na 50!!!
Kaka jebel alieleza vzr kule juu namimi nakazia umakini msiseme hamjaambiwa!!
Ahsanteni
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mmhh!kwa sasa ntadanganya it is unpredictable maana mbuzi wako juu sana!kama una uzoefu na kilo za mbuzi sawa kama huna utafeli kaka!Habari mdau, unaweza kuanza na mtaji kiasi gani kwa makadirio?
150k mnashuka mpk 100k to 90k...!!!ila natarajia kwenda mikoa mingine so ntajaribu kuwapa mrejesho maana kwa sasa Kondoa mifugo iko juu kidogo!Kondoo mkubwa dume anaenda mpka sh ngapi rafiki yangu...
Jilipue tu!au kama vipi njoo PMduuh, ama kweli hakuna pesa rahisi duniani...kila jambo linachangamoto zake..c mchezo, mkuu next week nlitaka nije huko na mimi kuchora mazingira kwa ujumla wake...unadhani ni vyema kufanya hivyo kwa sasa au bora nisubiri tu mpk huo mwezi wa Dec...?
Wazo Zuri shida uaminifu.Kuna mtu ameshaanza kufanya hii tuungane..?
Muunganiko wa kibiashara, kama kwenda kukusanya mzigo tunaendaWazo Zuri shida uaminifu.
Vipi unahitaji miunganiko wa namna gani?
Shukrani sana ngoja tujipange tusubiri pesa za mbaazi ziishe.Mimi hapa...Niko nimeanza
Naomba na wengine wasome hapa kama hawatojali..kwa sasa mbuzi wako juu sana,ni high season wakulima wana pesa za mbaazi na dengu wanaringa hawauzii njaa..mbuzi mpk 150k kwa mbuzi mmoja na kondoo pia bei ndo ziko hvyoo....Mimi nilikua na kiasi nkaongezewa ila mpk mda huu nazunguka minadani bado sijafanya kutafura unafuu maana hakuna mbuzi wa 50k may be vile vidogo Sanaa..
Wanaofanya kwa sasa ni wazoefu tu wa business wanalinda mitaji yao na wao kwa kua wengi wanajua biashara at least wanapata faida japo kidogo sana na advantage kubwa wao huku wengi wana mini yao hvyo hawagharamii malazi plus msosi...kwa mgeni kama sisi ukiingia kichwa kichwa itakula kwako uanze laumu watu...Mimi toka Alhamis nazunguka na pesa yangu naogopa nisije nkachoma bure na kutafuta mchawi..
Msimu mzuri wa kuanza hii biashara kwa huku Kondoa ni December may be utafute chimbo lingine ila kwa huku nimeogopa..December to April mbuzi mkubwa kabisaa unampata mpk elf 60 ambae kwa sasa wanauzwa laki na 50!!!
Kaka jebel alieleza vzr kule juu namimi nakazia umakini msiseme hamjaambiwa!!
Ahsanteni
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ntakuja pm mkuu!
Kuna mdada jumatatu ijayo if you are serious twende wote!ule kidogo una unafuuNtakuja pm mkuu!
Mkuu sijakufahamu vizuri hapa kuhusu huyo mdada...Kuna mdada jumatatu ijayo if you are serious twende wote!ule kidogo una unafuu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sorry I mean kuna mnada j3 kama vipi twendee!Mkuu sijakufahamu vizuri hapa kuhusu huyo mdada...
[emoji36][emoji36][emoji36]Acha uvivu nenda mwenyewe.
Njoo twende Mimi nimevaa roho ya utafutaji si ngono ata gharama ya malazi tutashare chumba kimoja kama wakongo(mfanyabiashara mwanamke na mwanaume wakongo wanaweza kushare room moja ugenini ili kubana matumizi)HONGERA SANA NA UMENIFUNGUA KWA KWELI KWENYE BIASHARA YAANI KUMBE TUNAKAA TU KUNA BIASHARA ZINGINE KAMA HIZI