Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Ulifanikiwa hii biashara
 
Interested
 
Mkuu ubarikiwe sana kwa kushare madini haya na mpangilio mzuri wa uandishi. Watu wachache km wewe ndio mnaoiheshimisha Jf.
 
Kwa mahitaji ya mbuzi kipindi hiki Cha sikukuuu tafadhali naomba tuwasiliane napokea Oda za mbuzi na ng'ombe pia
 
Mkuu umenipa njia nzuri sana nashukulu sana kwa moyo wako naomba ningepata unisaidie kunipa namba hata mtu mjo ambaye anaweza nisaidia kueafikia madalali wa urangin bro unipe uwenyeji kidgo nataka kufanya no w bro
Je ulifanikiwa ndugu unipe na mimi connection
 
Asante sana Mkuu, biashara hii nimekuwa naifikiria Kwa muda sasa, hivi nimewasiliana na jamaa zangu Dodoma but hawajaonyesha ushirikiano mzuri ila nadhani week ijayo nitaenda huko kuangalia ni namna gani naweza kuifanya hii, nikianza kidogo kidogo.
Ningependa kufahamu kama ulianza hii biashara boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…