Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Nimejikuta naingia kwenye profile yako kukagua thread zingine mana umeiandika kiufundi sana thread hii.. binafsi pia nimewahi fanya japo haikuwa kwa mfumo wa viwanda ila sioni chakuongezea mana pote umeenea na nimependa zaidi ulivyomalizia..
Habari mkuu unapatikana mkoa gani mm ninawiwa kuanza biashara hii January 2026 ila nilikuwa natafuta minada ya karibu ili iwe rahisi kupata usafiri.
 
Habari mkuu unapatikana mkoa gani mm ninawiwa kuanza biashara hii January 2026 ila nilikuwa natafuta minada ya karibu ili iwe rahisi kupata usafiri. Naomba tuwasaliane tafadhali nataka kujifunza zaid kutoka kwako 0770449045
 
Ntaandika nikitulia nipo huku toka hii nyuzi
Habari mkuu unapatikana mkoa gani mm ninawiwa kuanza biashara hii January 2026 ila nilikuwa natafuta minada ya karibu ili iwe rahisi kupata usafiri. Naomba tuwasiliane tafadhali 0770449045
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…