Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Na badala ya kumshukuru mungu wewe unashukuru LISHANGAZI🤣🤣🙌Kweli mkuu kuna kipindi niliacha chuo pale udom ile pesa ya boom nikaenda veta kusoma graphics design na sasa nainjoi kiufupi nimeamini Mungu anaweza kukufanyia miuujiza..
Katika watu walio fanyiwa miujiza mimi nambari.moja jamani..
Nimefanyiwa maajabu
Hii ni maajabu kweli Mungu anashangaza
Hii imekaa vizuriBiashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Hii imekaa vizuri Lakini mafundi stori zao sio za kuamini wanapenda kujipa Sana ujiko kwamba wanapiga hela lakini maisha yao yamejaa madeni kila kona, kuna fundi Friji aliniambia anaingiza hadi Laki tano kwa siku😀😀Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Mkuu tufafanulie ilikuwaje ili nasi tujifinzeUjeuri na kiburi nilivyowahi kufanya ni kwasababu ya fani.
Naam unafukuzwa kazi lakini unatafutwa urudi Kwa kubembelezwa.
Kisha unawapa masharti yako na wanatii.
Watu wengi wanaumia kwakuwa wanachofanya kinafanywa na wengi
Bro,CV ya kwenye makaratasi ni kibali kinachokupitisha au kukuvusha kwenda sehemu husika ,but ujuzi,ujuzi,ujuzi.
UJUZI NI KILA KITU.
Zamani kidogo wakati najitafuta,nilikuwa nalipwa take home 650k,ilikuwa haikidhi malengo kama mwanaume mwenye mke na mtoto mdogo kipindi hicho.
Lakini Kwa mara ya Kwanza nilishika Milioni 35 Kwa kufanya kazi ya wiki mbili tu kwenye kampuni moja ambayo miezi michache ilinipeleka Japan nikatengeneza pesa ,nasisitiza UJUZI ndiyo maana ya MAISHA
Zinahitajika wapi mkuu naomba nitafutie kaziSmart brain, rudi chuo hahaha
Ninachofikiri mimi elimu yetu inamuandaa kijana kufanya vitu vikubwa pasipo kumpa msingi mzuri, mfano mtu anasoma cybersecurity always utategemea kampuni ili kufanya kazi bila hizo kampuni, huna kazi za kufanya , the same na data science or whatever but graphics design, ukichanganya na motion graphics, 3d n.k kazi zinahitajika na wengi so kila mmoja na chaguo lake
Aahahhahah nimesema mungu anashangaz mkuu sijamshukuru mshangzi japo napenda sana mashangazi aiseee an nainjoi sana na hawa watuNa badala ya kumshukuru mungu wewe unashukuru LISHANGAZI🤣🤣🙌
Woteeeeeee tuseme aminaaaaa kubwaaaBiashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Ulipambana vipi na wazaziKweli mkuu kuna kipindi niliacha chuo pale udom ile pesa ya boom nikaenda veta kusoma graphics design na sasa nainjoi kiufupi nimeamini Mungu anaweza kukufanyia miuujiza..
Katika watu walio fanyiwa miujiza mimi nambari.moja jamani..
Nimefanyiwa maajabu
Hii ni maajabu kweli Mungu anashangaza
Wazazi nimewapanga tu mkuuUlipambana vipi na wazazi
Dadekii😬😬😬😬Aahahhahah nimesema mungu anashangaz mkuu sijamshukuru mshangzi japo napenda sana mashangazi aiseee an nainjoi sana na hawa watu
huijui data science wewe, acha kuropoka. Hauna bahati kabisa, starting salary ni 2M.Smart brain, rudi chuo hahaha
Ninachofikiri mimi elimu yetu inamuandaa kijana kufanya vitu vikubwa pasipo kumpa msingi mzuri, mfano mtu anasoma cybersecurity always utategemea kampuni ili kufanya kazi bila hizo kampuni, huna kazi za kufanya , the same na data science or whatever but graphics design, ukichanganya na motion graphics, 3d n.k kazi zinahitajika na wengi so kila mmoja na chaguo lake
Bora kuwa programer itakupa angle kubwa ya kujiajiri kuliko kuwa data scientist, hapa bongo kuna kampuni gani kubwa ya kuweza kuwa data expertise wao broo? Machine learning Kwa data gani zilizopo hapa bongo.huijui data science wewe, acha kuropoka. Hauna bahati kabisa, starting salary ni 2M.
Mkuu naomba kuiona picha ya pilau ya tractorBiashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Huna unachokijua. Jielimishe kwanza na tafuta taarifa sahihi. Mimi binafsi sitoi taarifa sahihi for free tena especially for strangers.Bora kuwa programer itakupa angle kubwa ya kujiajiri kuliko kuwa data scientist, hapa bongo kuna kampuni gani kubwa ya kuweza kuwa data expertise wao broo? Machine learning Kwa data gani zilizopo hapa bongo.
Okay broo, fight for your lifespanHuna unachokijua. Jielimishe kwanza na tafuta taarifa sahihi. Mimi binafsi sitoi taarifa sahihi for free tena especially for strangers.
Kuacha Chuo umezingua bro mana ungeweza kumaliza chuo na bado ukapiga graphics fresh tuu, hvy ungekuwa na mawili pamoja.Kweli mkuu kuna kipindi niliacha chuo pale udom ile pesa ya boom nikaenda veta kusoma graphics design na sasa nainjoi kiufupi nimeamini Mungu anaweza kukufanyia miuujiza..
Katika watu walio fanyiwa miujiza mimi nambari.moja jamani..
Nimefanyiwa maajabu
Hii ni maajabu kweli Mungu anashangaza
Alimaliza, sema ni joblessKuacha Chuo umezingua bro mana ungeweza kumaliza chuo na bado ukapiga graphics fresh tuu, hvy ungekuwa na mawili pamoja.