Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Wap amesema alimaliza?Alimaliza, sema ni jobless

Naomba odd leoKweli mkuu kuna kipindi niliacha chuo pale udom ile pesa ya boom nikaenda veta kusoma graphics design na sasa nainjoi kiufupi nimeamini Mungu anaweza kukufanyia miuujiza..
Katika watu walio fanyiwa miujiza mimi nambari.moja jamani..
Nimefanyiwa maajabu
Hii ni maajabu kweli Mungu anashangaza
Kaka waliniloga..Kuacha Chuo umezingua bro mana ungeweza kumaliza chuo na bado ukapiga graphics fresh tuu, hvy ungekuwa na mawili pamoja.
Watu wabaya sana 😂Kaka waliniloga..
Waliniloga ndgu yangu acha tu
Mkuu waliniloga kakaKuacha Chuo umezingua bro mana ungeweza kumaliza chuo na bado ukapiga graphics fresh tuu, hvy ungekuwa na mawili pamoja.
Mbaga usicheke usicheke kabisa..Watu wabaya sana 😂
Em fanya hvy mkuuMbaga usicheke usicheke kabisa..
Kuna kitu takuonesha uamini kweli nisemayo..
Hivi navosema mungu kanishangaza unazani kanishangaza kwa positive way..Naomba odd leo
We jamaa mbona unasumbuliwa na mambo madogo madogo namna hiiNingefanya kama ulivyoelekeza, lakini Kila nikisoma username yako nashindwa kuamini kama usemacho ni kweli.
Sahihi kbsa mkuuUjeuri na kiburi nilivyowahi kufanya ni kwasababu ya fani.
Naam unafukuzwa kazi lakini unatafutwa urudi Kwa kubembelezwa.
Kisha unawapa masharti yako na wanatii.
Watu wengi wanaumia kwakuwa wanachofanya kinafanywa na wengi
Bro,CV ya kwenye makaratasi ni kibali kinachokupitisha au kukuvusha kwenda sehemu husika ,but ujuzi,ujuzi,ujuzi.
UJUZI NI KILA KITU.
Zamani kidogo wakati najitafuta,nilikuwa nalipwa take home 650k,ilikuwa haikidhi malengo kama mwanaume mwenye mke na mtoto mdogo kipindi hicho.
Lakini Kwa mara ya Kwanza nilishika Milioni 35 Kwa kufanya kazi ya wiki mbili tu kwenye kampuni moja ambayo miezi michache ilinipeleka Japan nikatengeneza pesa ,nasisitiza UJUZI ndiyo maana ya MAISHA
Wewe unajielewa kweli sasa mbona hujaongea kuhusu frame na hao umetaja wote wako kwenye frameBiashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Mimi ni mtu wa details ndogo ndogo sana.We jamaa mbona unasumbuliwa na mambo madogo madogo namna hii
Ile ni sale wengi ukuambia sale badala ya faidaHii imekaa vizuri Lakini mafundi stori zao sio za kuamini wanapenda kujipa Sana ujiko kwamba wanapiga hela lakini maisha yao yamejaa madeni kila kona, kuna fundi Friji aliniambia anaingiza hadi Laki tano kwa siku😀😀
Figures tunazotajiwaga sometimes zinafikirisha sana. Unakuta unaambiwa bodaboda baada ya kutoa hesabu ya boss, mafuta na mahitaji yake, analaza 30K kwa siku. Kibongo bongo 30/day angalao mtu anaweza kuishi maisha ya daraja la kati. Lakini ukimcheki mtu mwenyewe hali yake tia maji tia majiHii imekaa vizuri Lakini mafundi stori zao sio za kuamini wanapenda kujipa Sana ujiko kwamba wanapiga hela lakini maisha yao yamejaa madeni kila kona, kuna fundi Friji aliniambia anaingiza hadi Laki tano kwa siku😀😀
Thread 'Akili mnemba (AI) na taaluma zetu'huijui data science wewe, acha kuropoka. Hauna bahati kabisa, starting salary ni 2M.
Mkuu ume dadavua kila kitu kinachohitajika kumaliza shida za ajira, nchi hii,Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi brother tafuta niche unayoipenda ya ufundi then jua ndani nje, namaanisha jua mpaka uhakikishe hakuna mtu mwingine anayejua zaidi yako, then ukimaliza hiyo hela yako ndogo uliyonayo, ndio iwe kama toools au starting point.
Nimesema haya kwasababu nimemkuta kijana fundi simu anaingiza 60,000-100,000/= kwa siku, nimeshangaa kwasabu nimemkuta na microscope, TV kubwa, pamoja na vifaa basi mteja akifika pale anaifanyia diagnosis kwa kutumia microscope n.k watu wamemuamini sana na kazi zimemzidia, katika kushare story yake alianza kwanza kutafuta ujuzi then akainvest kununua spare za simu kwahiyo anauza spare na kuzibadilisha...
Mwingine ni fundi umeme wa magari, hapa nisiongee sana, ni darasa la saba tu lakini pia kufungua duka la spare za magari na bado ni fundi.
Mwingine ni fundi wa kuchomelea na aluminium kajiset barabarani, yupo na work shop nilishangaa anatengeneza vifaa vya chuma vyote unavyovijua wewe ,kuanzia jembe, toroli, pilau za tractor n.k
You see? Find niche then wekeza muda wako woote, jifunze tafuta source mbali mbali mtandaoni kuwa guru katika eneo moja.
Huo ndio ukombozi kwa vijana.
Kusimulia ya wengine ni rahisi sana fanya wewe uone kama hutakuja kufuta huu uziBiashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,