Kama una mtaji usiweke kwenye biashara ya Frame/maduka, fanya hivi

Naomba odd leo
 
Sahihi kbsa mkuu
 
Wewe unajielewa kweli sasa mbona hujaongea kuhusu frame na hao umetaja wote wako kwenye frame
 
Hii imekaa vizuri Lakini mafundi stori zao sio za kuamini wanapenda kujipa Sana ujiko kwamba wanapiga hela lakini maisha yao yamejaa madeni kila kona, kuna fundi Friji aliniambia anaingiza hadi Laki tano kwa siku😀😀
Ile ni sale wengi ukuambia sale badala ya faida
 
Hii imekaa vizuri Lakini mafundi stori zao sio za kuamini wanapenda kujipa Sana ujiko kwamba wanapiga hela lakini maisha yao yamejaa madeni kila kona, kuna fundi Friji aliniambia anaingiza hadi Laki tano kwa siku😀😀
Figures tunazotajiwaga sometimes zinafikirisha sana. Unakuta unaambiwa bodaboda baada ya kutoa hesabu ya boss, mafuta na mahitaji yake, analaza 30K kwa siku. Kibongo bongo 30/day angalao mtu anaweza kuishi maisha ya daraja la kati. Lakini ukimcheki mtu mwenyewe hali yake tia maji tia maji
 
Mkuu ume dadavua kila kitu kinachohitajika kumaliza shida za ajira, nchi hii,
Kwa, maneno mafupi sana
 
Kusimulia ya wengine ni rahisi sana fanya wewe uone kama hutakuja kufuta huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…