Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Uko kazin?

Upo wapi sahiz?

Umekaa na nani?.

Umekula nn?.

Umelala na nani?

Mnaongea nn?.

Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣

Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho, ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee hunaga Stori zaidi ya maswali?.

Alafu Sasa, usipomjibu,. Anakuambia Humpendi.
 
Ukimjibu text mbili tatu utaskia anakuambia, "Niambie!". Wakati yeye ndio kaanzisha mazungumzo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu kama vile unamjua.

Yaan yeye baada ya maswali utasikia..

Nambieee.

Jana kanitumie text mida ya saa 12 jion anauliza Swali.

Umelala??.

Nikamjibu , acha bangi basi.

Weee alipiga simu nyingi sanaaa alafu kulalamika Sasa mpaka Anaboa, mtu analalamika sanaaaa .
 
Ukiona mtu ameanza mambo ya kukuambia "niambie". Ni dalili ya mwisho kuelekea mahusiano kufa.
Nmewah kudate Mwanadada Fulani, alikua ni Yatima !!

Daaahhh aisee ilikua inaniliazim niwe kama Baba, kaka, mama, mshaurii , mchungajii, mpenzi

Ukimkosea kidogo analiaa alafu anakuambia 'Sawa tuu kisa Mimi Sina Wazazi '

Hapo kama ni kazin yupo, utapigiwa simu na marafiki zake mpaka unijihisi unatafutwa na polisi
 
Uko kazin?

Upo wapi sahiz?

Umekaa na nani?.

Umekula nn?.

Umelala na nani?

Mnaongea nn?.

Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣

Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho ,ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee hunaga Stori zaidi ya maswali?.

Alafu Sasa, usipomjibu,. Anakuambia Humpendi.
😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko police
 
😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko police
Daah wee acha.

Siku hizi nimeshamjuliaa , mpaka mwenyewe atajitoa kwangu, akiona hatuendan midundo.

Hivi mtu ni saa Tano Asubuhi, ni siku ya kazi.

Bado unaniuliza... "uko wapi??''

Basi unamajibu, Niko Job.

Haipiti dakikaa... Anauliza, Unafanya nn?.

Kuna Siku nilimwambia... nipo nacheza karata na wagonjwa.
 
Na usiku akikuuliza unafanya umjivububaota jua la mfalme zumaridi
 
Nina rafiki yangu wa kike ambaye huwa anaongea sana haswa akiwa na mimi, huwa nafurahi na kuenjoy sana hata kama akiongea nonsense, lakini na yeye huwa anaenjoy vile Nampa muda wa kusikiliza upuuzi wake,

Hawa mademu ukitaka uwafaidi wewe onesha kumjali, si kwa pesa tu hata namna ya stori zenu, siyo Kila muda upo busy tu, utachapiwa tu hata ukihonga Yale majengo marefu ya pale posta.
 
Uko kazin?

Upo wapi sahiz?

Umekaa na nani?.

Umekula nn?.

Umelala na nani?

Mnaongea nn?.

Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣

Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho ,ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee hunaga Stori zaidi ya maswali?.

Alafu Sasa, usipomjibu,. Anakuambia Humpendi.
Mbona hana shida?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi [emoji3][emoji3][emoji3]mnaulizana maswali kama mko police
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Nimo kwenye relationship ya aina hii. Ni raha sana.

Rafiki halafu mshikaji wangu sana huyu binti dah! [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Sema kweli mkuu😂
 
😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko police
Kama tunavyofanyaga sio?😄
 
Back
Top Bottom