Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

😂😂😂😂Kweli mywangu..Hata sijui watu wanaishiwaje vya kuchati na wapenzi wao matusi yote haya,tatizo wapenzi wao wanawaona ma baba paroko sijui?
Yaaaani mimi 😀😀😀etu tu wapenzi na tusichat upuuzi aah we sio mimi
 
Sema Mara nyingi sisi wanaume tunafanya mazingira ya kiparoko maana nyie wanawake Huwa mnaflooo na mapigo ya Me.

Mwanaume akiwa paroko..nanyie mnajificha humohumo .

Ma Bidada yangu yote nafloo nayo, ila huyu Mwalimu ,Sijui anajikuta nani vile kile kitu mpaka nianzishe mimi
Sure wanawake wanachukua chochote unachowapa, ni vile tu wanaume wengi wanapenda kuwa kwenye comfort zone

ukikifanya paroka na yeye ataenda hivyo kama mama mchungaji ukienda kiuni na yeye humo humo..
 
Sema Mara nyingi sisi wanaume tunafanya mazingira ya kiparoko maana nyie wanawake Huwa mnaflooo na mapigo ya Me.

Mwanaume akiwa paroko..nanyie mnajificha humohumo .

Ma Bidada yangu yote nafloo nayo, ila huyu Mwalimu ,Sijui anajikuta nani vile kile kitu mpaka nianzishe mimi
Safari hii umekutana na mwinjilisti
 
Kuna siku nilikuwa sehemu kwenye get together,ghafla simu ya kijana mmoja ikaita akasema jamani "IGP Cammilius Wambura ananipigia,"akasogea mbali kuongea alivyorudi mezani mtu mmoja kamuuliza salama mkuu,mbona simu za IGP Tena tunatishana?ndio anajibu..Kaka huyu Ni mke wangu ana maswali magumu Kama IGP!anauliza maswali ambayi hata mama yangu hajawahi kuniuliza,uko wapi?na Nani?,unafanya nini?unakunywa Nini?unakula Nini?umeenda huko saa ngapi?,unarudi nyumbani saa ngapi? jamani watu tuliishia kucheka na kumpa pole,,,maswali yawe na kiasi Cha!
🤣🤣🤣🤣🤣
Imenibidi nitype khaaa
 
Mwalimu awe anaishi kwake, unaenda kumlia kwake hapohapo.

Kikubwa ukiwa unaenda, Beba Anagalau kilo 10 za Michele ule super, kilo Kumi ya ngano, mafuta , mbebee Maharage , mbebee Nyama kilo hata tatu , Samaki pia, Na kijizawadi hata kigauni na pafyumu.

Mimi Huwa napenda Ile anapika kavaa kijivaz mahaba huku anarudi Chumban kuandaa mazingiraaa ,hapo daaahh 🤣🤣🤣
😂😂😂😂
 
Kuna siku nilikuwa sehemu kwenye get together,ghafla simu ya kijana mmoja ikaita akasema jamani "IGP Cammilius Wambura ananipigia,"akasogea mbali kuongea alivyorudi mezani mtu mmoja kamuuliza salama mkuu,mbona simu za IGP Tena tunatishana?ndio anajibu..Kaka huyu Ni mke wangu ana maswali magumu Kama IGP!anauliza maswali ambayi hata mama yangu hajawahi kuniuliza,uko wapi?na Nani?,unafanya nini?unakunywa Nini?unakula Nini?umeenda huko saa ngapi?,unarudi nyumbani saa ngapi? jamani watu tuliishia kucheka na kumpa pole,,,maswali yawe na kiasi Cha!
😂😂😂
 
Back
Top Bottom